Ziara ya ACT - Wazalendo: Wananchi wanyonge watema nyongo

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,141
Wananchi walalamikia sera za CCM Mpya zinawaumiza sana

Viongozi wa ACT - Wazalendo wakiwa katika ziara ya kuonana na wananchi wa Dar es Salaam, wamekutana na vilio vya watu mitaani kuhusu kukithiri kwa umaskini, huduma duni za afya, kero za kuongezewa gharama wakati wa makadirio ya kodi.

Kwa kifupi maendeleo ya watu yamerudishwa hatua mia nyuma na wananchi wanazidi kulalamikia sera ya CCM Mpya iliyojikita katika maendeleo ya vitu yasiyo na mguso katikamaisha yao ya kila siku.



Source: MwanaHALISI TV
 
3 Nov 2019
TOP 16: MAMBO YALIYOFANYWA NDANI YA MIAKA MINNE Makala maalum iliyobeba Maendeleo ya Vitu yaliyofanywa na CCM Mpya, ndani ya miaka minne.
 
Back
Top Bottom