ZIARA: Dkt Heiko Maasi,waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani kutua nchini

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,856
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,dkt Heiko Maas,kesho anatarajia kutua nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili,ambapo ataambatana na ujumbe wa wafanyabiashara 50 kutoka Ujerumani.
Pia anatarajia kutembelea shule ya sekondari ya Zanaki,na baadae ataenda Arusha kufatilia kesi ya masalia katika mahakama ya kimataifa iliyopo Arusha
source:TBC taifa radio
 
Hivi hii kesi ya masalia ipoje,maana sijui ukubwa wake mpaka ianze kufatiliwa
 
Back
Top Bottom