ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

Status
Not open for further replies.
Jamaa nasikia alikamatwa ila wakagundua ni wa mkubwa wakamuachia na inasemekana alibackup site na anataka kuja kwa kasi once and for all tusubiri tuone...
"mficha maradhi kifo humuumbua"
Unajua watu wakikuambia mtoto wako ni mwizi halafu ukawa unabishabisha,huwa hii tabia inaendelea halafu mwisho wa siku lazima ataiba nyumbani ,utajua wakati It's too late.Ze Utamu watu walilalamika weee, serikali ikatia pamba masikioni.Mwisho wa siku mwizi alipoiba nyumbani, baba akahamaki kuibiwa.
NAPITA TU!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom