ZEUTAMU blogger faces jail term over manipulated photographic images

Status
Not open for further replies.
kang,FMES kwa hili sio tu ameckia nahisi atakua na uhakika cha kufanya ni kumwomba atutajie jina la huyo Kigogo.i am just kidding though najua sio rahisi kumtaja

Katika gazeti la Dar Leo la leo 22/6 jamaa mwenye blog ya zautamu ametajwa kuwa ni Malecela Peter Lusinde. Sasa sijui kama ana udugu na Mzee Malecela na Job Lusinde? Au ni majina tu??
 
Ukiambiwa serikali ina malale unabisha

Hakuna cha kesi ya z utamu wala ze ududuz
 
Mbona title na contents haziendani!!! Huu ni uandishi au uandisi wa habari!! Hakuna weledi!!
 
Kama Rais naye ana tabia kama zilivyowekwa kwenye mtandao huo kwa nini wasimchore? Walalahoi wamedhalilishwa walikaaa kimya! Ona hata ishu ya kuchakachua mafuta,,,,,,walikaa kimya hadi gari la waziri na la rais ilipochakachuliwa mafuta na kuzimika ndo wamezinduka......N a unajua walicho kuja nacho,,,,,,,kuongeza bei ya mafuta taa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!nina hasira
 
Mwenye ile picha jamaa wanamtifua ani attachie inbox nilikua nayo sema computer ili corrupt ikapotea
 
Kuwe na uhuru kwa waandishi. Obama mwenyewe anataniwa, sembuse huyu anayehongwa suti? Amekuwa nani mpaka tumtukuze?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom