samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,015
- 1,219
Yaani hawajaamini kule kutoa draw na timu ya Yanga maana waliamini zile goli 3 walizompiga simba mwaka 2014 zingejirudia,ila bado wanakumbuka matokea ya Yanga na township rollers yasije kuwakuta.