Zero nikipata mwanamke wa aina hii naoa

Sina mambo sana kwenye kuchagua mwenza ila tu siku nikipata mwanamke ambae ni Mgumba/Tasa nitaoa na kuianza safari ya Ndoa,

Wengi watauliza kwa nini nataka mwanamke wa dizaini hii ni kwamba,
Naitaji mwanamke wa kumpa furaha, naitaji mwanamke ambae hana cha kupoteza(siyo siku mkigombana akimbilie kusema ni kwa ajiri ya wanangu ndio maana bado niko hapa,) na sababu zingine nyingi nyingi,

Watu mtauliza ina maana zero huna huitaji wa watoto?

Jibu ni kwamba mpaka sasa tayari ninao watoto wa kutosha nahitaji mke wa kunipa furaha tu.

Nikipata hata leo natangaza ndoa.
Zero daaah unamisimamo ya Jamaica
 
Ziro sifuri masikio upo vizuri umehonga chips goli umefunga sasa umeamua kufurahisha wagumba safi wasaidie wagumba
 
Back
Top Bottom