Zembwela na mpoki

Wakuu nani mkali kati ya hawa jamaa mana wote nawakubali haswa zembwela na maneno yake
Utakuwa Mzaramo wewe, au mswazi kupita maelezo, hao wote uliowataja kichwani hakuna kitu na hawawezi kukaa meza moja na watu makini, there a just uswazi comedian.
 
Wote hamna kitu ila Mpoki afadhali kidogo mi naona

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bora mpoki mara mia! Huyo Zembwela hamna kitu...ameingilia fani asiyoiweza. Anatia kichefuchefu ukimsikiliza kwenye hiyo wanayoita supamix. Huyu jamaa inabidi akasome kwanza ndio arudi kutangaza, hana weledi kabisa kwenye utangazaji, amelazimisha. Sijui amelipwa fadhila na nani kwa kupewa hiyo kazi. Anaropoka tu! Anaongeaga vitu asivyovijua....uzalendo wa kinafiki. Kujifanya hapendi siasa huku akishabikia na kukipamba chama fulani na kukiponda kingine. Hataki siasa huku anaongozwa na wanasiasa na kuwalamba miguu...nyambafu kabisa!
 
Umeshasema wote unawakubali. Sasa unatuuliza sisi 'nani mkali' ili iweje wakati jibu unalo tayari. Jipange mzazi!
 
Bora mpoki mara mia! Huyo Zembwela hamna kitu...ameingilia fani asiyoiweza. Anatia kichefuchefu ukimsikiliza kwenye hiyo wanayoita supamix. Huyu jamaa inabidi akasome kwanza ndio arudi kutangaza, hana weledi kabisa kwenye utangazaji, amelazimisha. Sijui amelipwa fadhila na nani kwa kupewa hiyo kazi. Anaropoka tu! Anaongeaga vitu asivyovijua....uzalendo wa kinafiki. Kujifanya hapendi siasa huku akishabikia na kukipamba chama fulani na kukiponda kingine. Hataki siasa huku anaongozwa na wanasiasa na kuwalamba miguu...nyambafu kabisa!

jamani wewe mbona tunaendana mawazo?? Una akili sanaaaaaaaa
 
Mpoki ni level nyingine! tukubali ukweli kibongobongo Mpoki kipaji halisi.
 
Back
Top Bottom