Zelensky: Mafuta ya Urusi kutowekewa vikwazo kunagharimu maisha ya watu

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine

Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo haioni haja ya kuchukulia kwa uzito Mazungumzo ya Amani

Uvamizi wa Russia Nchini Ukraine umesababisha zaidi ya Watu Milioni Nne kukimbia, huku wengine wengi wakiuawa/kujeruhiwa na Miji kuharibiwa vibaya kutokana na mashambulizi

=======

Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy on Thursday called on Western politicians to quickly agree on an embargo of Russian oil, complaining that their failure to do so was costing Ukrainians their lives.

In an early morning video address, Zelenskiy also said he would continue to insist Russian banks be completely blocked from the international finance system.

Russia's six-week-long invasion of Ukraine has forced over 4 million to flee, killed or injured thousands and left cities and towns destroyed. read more

Zelenskiy said Moscow was making so much money from oil exports that it did not need to take peace talks seriously and called on the "democratic world" to shun Russian crude.

"Some politicians are still unable to decide how to limit the flow of petrodollars and oil euros to Russia so as not to put their own economies at risk," Zelenskiy said, predicting that an oil embargo would nevertheless be imposed.

"The only question is how many more Ukrainian men, how many more Ukrainian women, the Russian military will have time to kill in order for you, certain politicians - and we know who you are - to find some determination," he said.

Russia says it is engaged in a "special military operation" designed to demilitarize and "denazify" Ukraine. Ukraine and Western governments reject that as a false pretext for its invasion.

The United States targeted Russian banks and elites with a new round of sanctions on Wednesday. Zelenskiy said the announcement was spectacular but not enough.

Source: Reuters
Halafu media bwana, ukicheki vyombo vya west,utasema Mrusi kashachakazwa yupo anarudi Moscow ,wakati huyu mwamba ndiyo kwanza anaomba Mrusi ataitiwe asitishe kichapo.

Sasa,kuna haja gani ya kuudanganya ulimwengu kama raia wanateseka na kuangamia?
 
Pumbavu zake, hao raia wa Ukraine ndio bora zaidi kuliko raia wa nchi nyengine.

Huyu waache kumdekeza aachiwe apambane na hali yake.
Unga mkono Ukraine ukatae udikteta wa Putini na alia zake kwa kuua na kudhalilisha watu wasio na hatia
 
Mbona hata ukraine mwenyewe ni mvamizi na muuwaji tu. Ukisikia marekani na washirika wake wamevamia Iraq ndio hawa Ukraine.

Screenshot_20220312-112231_Via_2.png
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine

Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo haioni haja ya kuchukulia kwa uzito Mazungumzo ya Amani

Uvamizi wa Russia Nchini Ukraine umesababisha zaidi ya Watu Milioni Nne kukimbia, huku wengine wengi wakiuawa/kujeruhiwa na Miji kuharibiwa vibaya kutokana na mashambulizi

=======

Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy on Thursday called on Western politicians to quickly agree on an embargo of Russian oil, complaining that their failure to do so was costing Ukrainians their lives.

In an early morning video address, Zelenskiy also said he would continue to insist Russian banks be completely blocked from the international finance system.

Russia's six-week-long invasion of Ukraine has forced over 4 million to flee, killed or injured thousands and left cities and towns destroyed. read more

Zelenskiy said Moscow was making so much money from oil exports that it did not need to take peace talks seriously and called on the "democratic world" to shun Russian crude.

"Some politicians are still unable to decide how to limit the flow of petrodollars and oil euros to Russia so as not to put their own economies at risk," Zelenskiy said, predicting that an oil embargo would nevertheless be imposed.

"The only question is how many more Ukrainian men, how many more Ukrainian women, the Russian military will have time to kill in order for you, certain politicians - and we know who you are - to find some determination," he said.

Russia says it is engaged in a "special military operation" designed to demilitarize and "denazify" Ukraine. Ukraine and Western governments reject that as a false pretext for its invasion.

The United States targeted Russian banks and elites with a new round of sanctions on Wednesday. Zelenskiy said the announcement was spectacular but not enough.

Source: Reuters

MTZ 255Dar

Ulaya bado inanunua mafuta ya Urusi.
 
Back
Top Bottom