Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyuklia

Ukrean wamekataa jana izo ni propaganda za putin, mbona russia walitoa masaa ukraine waeke silaha chini na kama kweli mji upo chini yao?? muda umeisha leo asubuhi ukraine wanajibu watapigana mpaka dakika ya mwisho, hakuna mavi yoyote yaliyo chini ya Warusi
Washapelekwa ahera Kwa missiles za warusi.
 
Putini hitajio lake no1, ametaka cremea kuwa sehemu ya russia, no.2 ametaka Donbas kuwa huru, no.3 ametaka Ukraine isijiunge na Nato lakini na European Union

Ndio mana nimeandika hajapata Cremea, wala Donbas mana vita inaendelea bado, kuhusu Nato Zelensky amesema atafanya referendum kuwauliza Wa-Ukraine kama wanataka au la lakini European Union kila mmoja ameshuhudia duniani Zelensky akikabidhiwa mafomu ya kujiunga na umoja wa ulaya tena mchana kweupe ni vile process zinaendelea kwa vile kuna taratibu mpaka zikamilike.

Hadi sasa Zelensky bado ni Rais wa Ukraine na anadunda Kyiv, anafanya mikutano Kyiv ujumbe wowote anaotaka kukutana nao wanamfata Kyiv akiwa salama kabisa ndio mana nimesema Putin ana stress sana kuona haya yote yanafanyika yeye hana ubavu kuzuia., Alifikiria Donbas kashaipata pale mapema alipovamia mpaka kupachika mabendera yake lakini wapi, alivyoshindwa Kyiv vidume vimemtilia team huko huko na Cremea pia kwa mujibu wa Zelensky Ukrain haitakuwa tayari kupoteza eneo lake ata inch. On top of that majenerali 9 wameenda na maji ndio mana juzi kamleta mpya kutoka Syria aliyekuwa ndo huyo anapiga mabomu bila mpango akiwa mbali na Ukraine.

Angalia ramani kama unajua kusoma utakuta russia yuko maeneo ya pembeni pembeni bado kwa siku 60 alizovamia
Kwa hiyo sasa hivi Cremea iko mikononi wa Ukraine sio?
Ukraine ni mwana chama wa Nato sio?

Dombas mpaka sasa Urusi inaidhibiti kwa asilimia 70.
 
Kwa hiyo sasa hivi Cremea iko mikononi wa Ukraine sio?
Ukraine ni mwana chama wa Nato sio?
Cremea bado mapigano yataendelea kwanza ukraine walikombo Kyiv sasa wapo Donbas tega sikio silaha nzito zinaingia ukraine kumshughulikia russia
Dombas mpaka sasa Urusi inaidhibiti kwa asilimia 70.
Ukiwasikiliza russia watakwambai 100% wamedhibiti lakini ukweli vita bado inaendelea kinachotokea ni kwamba russia hupiga mabomu kutoka masafa ya mbali bahari uko au rusia na kutua hapo Donbas wanauwa watu 7 utaskia au 4 nk
 
Huyu nae aache kubwekabweka na amuombe mwenzie Mr. Putin aachane na vita
 
ila dunia ina vichekesho hii, eti wanajeshi wa urusi wamekufa, wa Ukraine wanalala? Eti siku 60 hajapata anachotaka, tueleze alikua anataka nini? Wanajeshi wanazikwa hai huko mariupol hao nato hawaoni? Na hakuna makubaliano ya mezani this time around.
NATO na EU walimpumbaza RUSSIA kwa mwamvuli wa mazungumzo ya kidiplomasia ghafla wakamsaliti kwa kuizamisha meli yake na ndipo walipojikuta wamemimina petroli kwenye moto hadi sasa kuijua rangi halisi ya simba (PUTIN) ikoje akishikwa sharubu
 
Back
Top Bottom