Zege Halilali: kauli mbiu mpya ya serikali ya awamu ya sita?

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Salaam

Nimeipenda Kauli Mbiu Mpya ya Serikali ya Awamu ya Sita "Zege Halilali"

Hii Kauli Mbiu inasistiza uharaka wa kutekeleza jambo, linalowezekana Leo lisingoje Kesho.

Hii itakua Chachu kwa Watendaji wa Serikali kufanya Mambo kwa Haraka kadri iwezekanavyo. kusiwe na ngojangoja kama jambo linaweza kutekelezeka Leo.

"Hapa Kazi Tu" ikichanganywa na "Zege Halilali" Basi Nchi yetu itafanya mambo Makubwa kwa Muda mfupi sana.

Mama katengeneza Tai- Chi style kwenye Siasa kwa Kuziblend pamoja "Hapa Kazi Tu na Zege Halilali"

Nimeipenda Kauli Mbiu hii Mpya ya Awamu ya Sita "Zege Halilali"
 
Back
Top Bottom