ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Watu wapo busy kufuatilia tovuti ya ZEC ili kuona matokeo ya kila jimbo, lakini bahati mbaya sana matokeo hayo inavyoonekana bado yapo jikoni yanapikwa ili jumla yake isije ikawa tofauti na ile yaliyotangazwa.
Jecha unahofu gani kuweka matokeo ya kila jimbo ya waliopiga kura ya diwani , mbunge na raisi.
Kuna tetesi kwamba matokeo hayo hayalingani kiidadi na jumla iliyotangazwa kwani kuna jimbo mshindi wa ubunge kaongoza kwa kujizolea kura 12 na katangazwa mshindi.