MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Tume ya uchaguzi Zanzibar imekataa kuondoa jina la Maalim Seif kwenye uchaguzi wa marudio zanzibar utakaofanyika hapo march 20 mwaka huu
Chanzo: Magazeti ya leo
Chanzo: Magazeti ya leo
Siku za hivi karibuni CUF ilitoa tamko la kua CUF kujitoa uchaguzi wa marudio zanzibar.
Tamko lile ni batili kwa mujibu wa kifungu cha 28 cha sheria ya uchaguzi ya Zanzibar AMBACHO KINATAMBUA MTU KUJITOA NA SI CHAMA KUJITOA katika uchaguzi majina yakishapitishwa na tume. CUF walichokifanya ni kinyume cha sheria.
Soma hapo sheria nzima nimeweka. CUF wamefanya makosa mengine matano ya kisheria zaidi ya hili ila siweki silipwi kwa kazi hiyo.Ila hilo tu la kutoa tamko la kujitoa ni GRAVE LEGAL MISTAKE NUMBER ONE.
Matano yaliyobaki nabaki nayo
CHECK: http://zec.go.tz/en/wp-content/uploads/2015/08/Kanuni.pdf