ZEC iko juu ya sheria

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,773
2,182
Kauli zinazotolewa na viongozi wa CCM na serikali akiwemo JPM zinaashiria kwamba ZEC iko juu ya sheria. Haiwezi kuingiliwa hata kama inafanya madudu ya ajabu. Hata inapofanya uamuzi ambao unaiingizia serikali gharama ya Sh. 7bn kwa ajili ya kurudia uchaguzi uliokuwa tayari umefanyika. Hii mimi haiingii akilini kabisa. Je nyie wenzagu inawaingia?
 
Back
Top Bottom