Zebra Cross, sehemu ya kuvuka watu kwa miguu nani anahusika?

Kelela

Senior Member
Nov 7, 2020
186
269
Habari za leo wadau,

Naomba kufahamu hawa watu wanaoweka alama za zebra (wapita kwa miguu) barabarani.

Maana katika eneo ninaloishi hakuna zebra cross barabarani na magari huwa yanapita kwa kasi sana maana hakuna zebra cross wala matuta.

Hili limepelekea watu (watoto, vijana, wazee) kuvuka barabara kwa kukikmbiakimbia kitu ambacho sio salama.

Naomba kujua wahusika ili niwafikishie changamoto hii tuliyonayo. AU kama wapo humu naomba hata address na contact zao.
 
Eti sababu ni zebra basi mtu ndo anajioitia tu bila kupiga hesabu!

Halafu wanapita kwa kunyata!
 
Pole mkuu. Fikisha tatizo lako husika ngazi ya chini wao watalipeleka juu
 
Back
Top Bottom