Ze Utamu Blogger

Status
Not open for further replies.

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
Wana JF huyu jamaa yuko wapi?amefikishwa mahakamani au yuko huru?
yuko kizuizini?
 
mbona hata identity wameficha??au ukiwataja utaharibu uchunguzi, kweli hii ndo TZ aka Bongo
 
Nadhani kichwa changu kimechoka sasa- najaribu kiilink hii habari na siasa sipati jibu- people alamsiki!
 
Hakuwahi kukamatwa.

Ule mkwara ulikuwa kufikisha ujumbe kuwa tukana kote lakini usiguse Ikulu.

Missing Ze Utamu a lot!
 
Ndugu zangu wa JF eti kuna mtu anafahamu kama matokeo ya kidato cha nne wameya-post kwenye net? Nashangaa kuna watu/wanafunzi wanasema wameshapata matokeo yao eti wameyapata kutoka kwa wakuu wao wa shule, wamekuwa wakipigiwa simu kutaarifiwa juu ya matokeo hayo, Sina uhakika kama utaratibu huo unaweza kuwa ndio unaotumika kwa sasa, Hebu munijuze wakuu...
 
Raia umepotea njia!
 
Ndugu zangu wa JF eti kuna mtu anafahamu kama matokeo ya kidato cha nne wameya-post kwenye net? Nashangaa kuna watu/wanafunzi wanasema wameshapata matokeo yao eti wameyapata kutoka kwa wakuu wao wa shule, wamekuwa wakipigiwa simu kutaarifiwa juu ya matokeo hayo, Sina uhakika kama utaratibu huo unaweza kuwa ndio unaotumika kwa sasa, Hebu munijuze wakuu...[/QUOTE]

Raia umepotea njia

Ni kweli ndugu, nimechemsha kwani ilikuwa nipost kama new post lakini nikajikuta mawazo yalikuwa hayajahama huko kwa mshikaji. Do!!! kweli aibu mtu mzima.
 
Ni kweli ndugu, nimechemsha kwani ilikuwa nipost kama new post lakini nikajikuta mawazo yalikuwa hayajahama huko kwa mshikaji. Do!!! kweli aibu mtu mzima.

Tafuta mtu akufundishe jinsi ya kuanzisha thread, please!!!! Kuficha ficha ugonjwa kifo kitakuumbua!!!
 
EEEE!!! Hapa patamu kwani mutoto wa mukubwa tangu lini akashitakiwa??? wajameni!! Huyu Jerry Muro si mutoto ya mukubwa ndio maana kasi mpya nguvu mpya na ari mpya. Lakini ukiwaambia kujenga Daraja la Kigamboni wafanye kama ya Muro jibu Ziroooooo. Sasa naona wakubwa wameingilia kati du!!
 
ukweli mtupu!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom