Wana JF huyu jamaa yuko wapi?amefikishwa mahakamani au yuko huru?
yuko kizuizini?
nadhani uchunguzi unaendelea
nilikuwa nimesahau kama na hii kesi ipo
wATASEMA WASICHOKUJUA? HAWAJAITWA KAMA YA JERRY MZEE!Hata magazeti hayasemi chochote.ni ajabu kabisa.
Raia umepotea njia!Ndugu zangu wa JF eti kuna mtu anafahamu kama matokeo ya kidato cha nne wameya-post kwenye net? Nashangaa kuna watu/wanafunzi wanasema wameshapata matokeo yao eti wameyapata kutoka kwa wakuu wao wa shule, wamekuwa wakipigiwa simu kutaarifiwa juu ya matokeo hayo, Sina uhakika kama utaratibu huo unaweza kuwa ndio unaotumika kwa sasa, Hebu munijuze wakuu...
Ni kweli ndugu, nimechemsha kwani ilikuwa nipost kama new post lakini nikajikuta mawazo yalikuwa hayajahama huko kwa mshikaji. Do!!! kweli aibu mtu mzima.
EEEE!!! Hapa patamu kwani mutoto wa mukubwa tangu lini akashitakiwa??? wajameni!! Huyu Jerry Muro si mutoto ya mukubwa ndio maana kasi mpya nguvu mpya na ari mpya. Lakini ukiwaambia kujenga Daraja la Kigamboni wafanye kama ya Muro jibu Ziroooooo. Sasa naona wakubwa wameingilia kati du!!