Paparazi Muwazi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 310
- 79
Ile sintomfahamu kati ya Ze Comedy na EATV imetinga bungeni kupitia mbunge wa viti Maalum CHADEMA Mama Suzan Lyimo. Waziri amesema kuna mzozo kati ya hatimiliki na hatishiriki. Waziri amebakiza suala hilo kwa COSOTA kuamua
PM
PM