ZBC2 kama kazi imewashinda waachieni Azam

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,012
71,171
Kituo gan hiki, YouTube hamuonekani.

Marudio ya Mechi za Kimataifa hususani klabu bingwa Afrika kupitia Simba Mnyama hamuweki.

Toka jana nazungunguka YouTube kutafuta Marudio ya mpira, walau nisikie Sauti ya Baraka Mpenja akitangaza Goli la Messi wa Simba hamna.

Kama kazi hamuijui basi wapeni Azam haki ya kurusha marudio kupitia YouTube.

Huu ni Ujinga!

IMG_20210225_225308_198.jpg
 
Kwani zbc2 si ya azam pia! Maana kuna mtangazaji niliwahi kumwona kule na azam pia.
 
Wapuuzi sana, hata Ubora wao uko poor sana

Wee angalia iyo Channel ya CAF imeangaliwa mpaka sasa karibia na watu 500K

Yenyewe yamekaa tu kishamba shamba
Wapo kama chid benz.

Hajui mambo ya mitandao na anakiri kabisa kuwa yy hajui.

Ila ZBC ni ya zamani sana labda kuna mambo ya maadili wanauafuata.
 
Kituo gan hiki, YouTube hamuonekani.

Marudio ya Mechi za Kimataifa hususani klabu bingwa Afrika kupitia Simba Mnyama hamuweki.

Toka jana nazungunguka YouTube kutafuta Marudio ya mpira, walau nisikie Sauti ya Baraka Mpenja akitangaza Goli la Messi wa Simba hamna.

Kama kazi hamuijui basi wapeni Azam haki ya kurusha marudio kupitia YouTube.

Huu ni Ujinga!

View attachment 1711975
ZBC 2 = Azam
 
Zbc 2 inamilikiwa na kuendeshwa na Azam na ndio maana mpira wa simba alitangaza baraka mpenja
Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja
 
Azam ndiye ZBC2
Zbc 2 inamilikiwa na kuendeshwa na Azam na ndio maana mpira wa simba alitangaza baraka mpenja
ZBC 2 = Azam
Duuhh Nilijua ZBC2 ni kituo cha shirika la utangazaji Zanzibar yaan ni kama ilivyo TBC kwa upande wa Bara au Star TV isipokua zipo ndani ya King'amuzi cha kampuni ya Azam ambayo nayo ina vituo vyake kama Azam ,Azam sport 1,2 HD n.k

Kwa hiyo unakuta, Wao kama wao ndio wenye ruhusa ya kuonyesha Mpira, na kwakua hawana king'amuzi, Kituo chao kkakubaliana na Kuwemo ndan ya Azam ,

Kwa maana ya kwamb ZBC2 wanaweza wakajiondoa kwenye king'amuzi cha Azam wakahamia kampun nyingine lkn bado wakaendelea kua na haki ya kuonyesha mpira kama kawaida.
 
Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja
Azam anaitumia Zbc2 kimasilahi, inaonekana chenel ya taifa so yeye mambo yake Azam yanaenda.

Ile ni mali ya Azam sema kuwa Zbc2 ni kurahisisha kupata haki za matangazo.

Ndo maana ipo kwenye kisimbusi cha Azam tu.

Na zile studio za matangazo na uchambuzi ni za Azam zilezile.

Na watangazaji baadhi ya mechi ni walewale.
 
We unazungumzia theoretically,
Sie tunazungumzia practically
 
Hapana Zbc 2 si ya Azam,kuna vitu vya mikataba ambayo shirika la zbc waliingia nayo caf miaka iyo hata Azam haitazamiwi kuja
ZBC ye anaishia hapo hapo kwenye ZBC. Azam (Bakhresa) Zanzibar hanyimwi kitu, so ZBC-2 ikaanzishwa ili ipate favors kama TV ya taifa lakini haina tofaut na Azam1, Azam2, Azam Sport, etc
 
Azam anaitumia Zbc2 kimasilahi, inaonekana chenel ya taifa so yeye mambo yake Azam yanaenda.

Ile ni mali ya Azam sema kuwa Zbc2 ni kurahisisha kupata haki za matangazo.

Ndo maana ipo kwenye kisimbusi cha Azam tu.

Na zile studio za matangazo na uchambuzi ni za Azam zilezile.

Na watangazaji baadhi ya mechi ni walewale.
hapana, zbc 2 pia inapatikana kwenye king'amuzi cha Zmux kinachotolewa na ZBC wenyewe
 
Ile siku baada ya game Kuna mtu aliwauliza kua kwa nini ZBC2 hawajaweka highlights, Azam walimzjibu kua Makubaliano yao na CAF hayaruhusu kuweka highlight zao
 
Back
Top Bottom