USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,895
- 22,659
Wakuu nina juma mona hapa Zanzibar
Leo nikiwa kwenye boti natoka Unguja nakuja Pemba kulikuwa na mjadala kwenye chombo kimoja cha habari kuhusu kwanini serikali ya Zanzibar ambayo inawafanyakazi wa umma karibu wote ni waislam watupu ukiachilia wizara za muungano imekubali vipi television yake kutangaza habari muda wa swala yaani saa 7 mchana na saa.
Wameenda mbali na kusema kuwa kuwa kuwa wao wapo kwenye muungano pia waitake serikali ya muungano kulipa uzito jambo hili hata kwa TBC1 pia kwa kuwa wao wanabaki kuungalia habari za mida wanayotakiwa kufanya swala .
Mchangiaji anauluza kwanini taarifa isiwe saa mbili, nane na tatu usiku ili kuepuka mfumo kristo kuendesha nchi hadi misikiti na wakati Marais wote ni waislam na hawajali na kuona Kuna tatizo.
Msemaji anasema wanawataka wabunge wao wapeleke hoja bungeni kupinga hii tabia ya kuwafanya waislam waache kuswali kisa taarifa za habari zinazoweza kupangiwa muda na wao waswali bila tatizo