Z'bar vs burundi

Aggrey86

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
853
155
Kwa wale mnaofuatilia mechi kati ya Zanzibar na Burundi naombeni mnijuze jamani nini kinaendelea hadi sasa?
 
sijui kwanini watanganyika wamekuwa wabaguzi hivi..sasa kwanini hawatupi maupdate ya mechi ya uamsho.. vs Burundi..
 
Kwa wale mnaofuatilia mechi kati ya Zanzibar na Burundi naombeni mnijuze jamani nini kinaendelea hadi sasa?
Dk 90 zimeisha wakiwa 0-0
wameenda kwenye matuta, na tayari Burundi wameisha kosa penati 1
 
Agrey Morisi kapiga vizuri penati yake aisee; kastua kidogo, Kipa wa Burundi kaenda Marikiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom