Sasa nimeamini CCM zanzibar hawana hoja yoyote ya msingi na hawawezi kuleta mabadiliko yoyote zanzibar, CUF na viongozi wake wanakubalika sana na wazanzibari...Huo uchaguzi kurudiwa ni mbinu chafu za CCM kurudi kwa nguvu.
Wameona wananchi bara wamekubaliana na hujuma na wizi uliofanyika ktk uchaguzi ili amani iwepo sasa wana assume na zanzibar itakuwa hivyo hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.