Zawadi za miss chitchit mwezi november zitakua kama ifuatavyo

hahaha my dia dah thanks hata wewe umeona ninavyoteseka
not only kuteseka bt mi nahisi na naamin unahitaji kushinda hii kitu coz kama akina dada madame tayari na shosti angu cl sasa who else jaman ts uu bana ntakua campaigner wako ondoa shaka
 
Najua mgombea wangu charminglady atashinda hivyo ni lazima niwe mmoja wa wafadhili.
NitakuPM mkuu @Ruhanzwe JR
 
Last edited by a moderator:
maskini Erickb52 kwani kale kakibanda kake ka-shoe shine hakafanyi kazi tena.....teh,teh,...

Wamachinga wote waliondolewa katikati ya jiji Arusha akiwemo b52 alikuwa na kakibanda chake cha shoe shine pale mjini kati..Halafu pia alikosa nafasi pale NMC..
 
Last edited by a moderator:
Wamachinga wote waliondolewa katikati ya jiji Arusha akiwemo b52 alikuwa na kakibanda chake cha shoe shine pale mjini kati..Halafu pia alikosa nafasi pale NMC..
Hahahahaaaaa nimeamua kuanzisha biashara kubwa aisee tedo mi sio wa biashara kama hizo kumbuka nimempiku Bishanga oooh

Dollar.jpg
Mi natengeneza Dolar sio Tshs kijana acha kupotoshwa na Ruhazwe JR na Pombekali hawana jipya zaidi ya majungu kwangu....!
 
Back
Top Bottom