Zawadi za miss chitchit mwezi november zitakua kama ifuatavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi za miss chitchit mwezi november zitakua kama ifuatavyo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Oct 24, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  habhali yenu bhana
  Tukiwa kwenye maandalizi ya kuanza mashindano naona ni bora kutangaza zawadi kabla ya kuanza mashindano hapo tyarehe 31 oct,
  zawadi kwa mshindi wa kwanza (ambaye ndio miss)itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 8,000/=
  zawadi kwa mshindi wa pili itakua ni muda wa maongezi wenye thamani ya tshs 1,500/=
  Zawadi kwa mshindi wa tatu itakua nu muda wa maongezi wenye thamani ya Tshs 500/=

  Kama kunamfadhili mwingine anaweza kujitokeza kuongeza mfuko huu wa zawadi anaweza ni PM,
  nawategemea sana kusikia kaulizene hasa Bishanga ruttashoborwa Judgement Madame B Remmy Erickb52 na wengine wote wenye nia ya dhati katika kuhakikisha zawadi inakua nono hapa chitchit mahala pa kupunguza stress na uchofu wa mihangaiko ya kila siku katika kusaka riziki

  Nawasilisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru kwa taarifa mkuu Ruhazwe JR
  Hapa unatupa motisha wakujipanga zaidi kuhakikisha Arabela ana chukua taji na zawadi ya elfu 8 itabidi Arabela uniongeze malipo ukishinda mana nafanyakampeni ya kufa mtu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wns usitie hofu bega kwa bega
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyo Erickb52 muondoe kwenye hiyo list ya wafadhili maana amechoka sana siku za karibuni! Tangu amefumaniwa Mwz na kutoswa na mpz wake Amyner, kichwa chake kimepatwa na konkashen!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha.......kumbe ndio maana!!
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  maskini Erickb52 kwani kale kakibanda kake ka-shoe shine hakafanyi kazi tena.....teh,teh,...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndio maana nini tena WNS tililika
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  lundenga nahic harufu ya rushwa, mbona hakuna uwiano kati ya zawadi ya mshindi wa kwanza, wa pili na wa tatu?
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ruhazwe JR nipe update. Lini 2naanza kupga kampeni?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  umeingia mawazon mwangu. Hata mimi nltaka kuuliza kuhusu hyo gap ya zawad kati ya washindi
   
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapana charminglady
  Utakumbuka kila msimu wetu unakua na mabadiliko,hii ni ili kuweza kuvutia shindano na hata washiriki.kama utakumbuka kwa mara ya kwanza hapakua na zawadi yoyote ile,mara ya pili hivyo hivyo,mara ya tatu nido kuwa na zawadi na hata wewe ulipokea zawadi ya mshindi wa pili,je uritoa rushwa?
  Safari hii tuna panga hivi ili kuweka heshima na uzito kwa miss na kuweka ushindani au wewe unasemaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kura zitapigwa kuanzia tarehe 31 hadi terehe 02 ikiwa ni kuwasaka top 5,amabo hyo itakua ni nusu fainal,then tunaenda fainal tukiwa na washiriki watano ambao watapigiwa kura tena kuanzia tarehe 02 had trh 05,na hapo ndio tutawapata watatu bora huku wa kwanza ndio akiwa miss
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  gap? yani jast gap ndio uhisi rushwa? si sahihi hata kidogo
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  haya bana lundenga!
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  What about a 'one night stand' with JF's cuttest boy?
  I think that will make the most of it, and of course the contest will be even more competitive.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahaaaaaaaaaaaa
  Wanaume nao wanakuwaga macute?
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Kutana na wa kwanza, wan'na try some?
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha,...mbona umekubali kama lina kwenye ule wimbo alioimba na barnaba wimbo wa wrong number?
   
 19. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haya tena ndo waanze kujinadi tupige kura hapa ithink dis time arabela achukue tuu
   
 20. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hahaha my dia dah thanks hata wewe umeona ninavyoteseka
   
Loading...