Zawadi yangu kwenu Wana JamiiForums wote kwa mwaka mpya 2021

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
kalendayabujibuji.jpg
 
Ungeanzisha huu uzi na ile I'd yako pendwa tungekuja mbio hadi tuvunjike miguu 😂😂
 
February 2021 inaishia tarehe 28, Jumapili.

Miaka yenye February 29 ni "leap years". Miaka inayogawanyika kwa 4.

Mwaka huu 2020 ulikuwa na February 29.

Mwaka unaofuatia kuwa na February 29 ni 2024.

This is very basic.
Nimekujibu with reference ya Calendar iliyokuwa posted hapo juu
 
Nimekujibu with reference ya Calendar iliyokuwa posted hapo juu
Mwaka wa 2021 hauna February 29.

Kama una simu au computer angalia.

Ukitaka kutengeneza kalenda inayoonesha mwaka 2021 una miezi 13 ya kalenda ya KiGrigori unaweza.

Lakini, hilo halitafanya mwaka 2021 uwe na miezi 13 ya kalenda ya KiGrigori.

Labda uanzishe kalenda yako ya Kimakonde.
 
Mzee naona hatuelewani
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom