Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
2021 loading
pascal mayallaUngeanzisha huu uzi na ile I'd yako pendwa tungekuja mbio hadi tuvunjike miguu 😂😂
ipo , itakuwa siku ya Ijumaa2021 haina February 29th.
February 2021 inaishia tarehe 28, Jumapili.ipo , itakuwa siku ya Ijumaa
Nimekujibu with reference ya Calendar iliyokuwa posted hapo juuFebruary 2021 inaishia tarehe 28, Jumapili.
Miaka yenye February 29 ni "leap years". Miaka inayogawanyika kwa 4.
Mwaka huu 2020 ulikuwa na February 29.
Mwaka unaofuatia kuwa na February 29 ni 2024.
This is very basic.
Mwaka wa 2021 hauna February 29.Nimekujibu with reference ya Calendar iliyokuwa posted hapo juu
Mzee naona hatuelewaniMwaka wa 2021 hauna February 29.
Kama una simu au computer angalia.
Ukitaka kutengeneza kalenda inayoonesha mwaka 2021 una miezi 13 ya kalenda ya KiGrigori unaweza.
Lakini, hilo halitafanya mwaka 2021 uwe na miezi 13 ya kalenda ya KiGrigori.
Labda uanzishe kalenda yako ya Kimakonde.