Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

kaka jibu hoja, nini maana ya Zawadi ya Upanga? usikurupuke

kweli wewe ni janga kuu, kuna hoja gani ya kujibiwa hapa?
Kasome tamaduni za oman ujue maana ya upanga then urudi tena.

Endeleeni kupandikiza chuki, siku likitibuka hamna atakae salimika.

Mnawalaumu waislam juwa wanalalamika kila kitu kumbe na nyie ni walewale.
 
mnamlaumu shekhe ponda eti kwa uchochezi na hiki mnachokifanya hapa ni nini?! Kama upanga ni ishara ya vita na bunduki ni ishara ya nini? Tukizunguka humo majumbani mwenu hakuna? Kunya anye kuku akinya bata kaharisha! Acha nongwa mkuu! Ktk mazingira tunapoishi mimi na wewe kuna silaha nzito zaidi zaid ya panga, na pale wazir mkuu pinda alipopewa mkuki kule shinyanga walipo mfanya kuwa mtemi mbona hamkuyasema hayo! Ondoeni matapishi yenu hapa!

mkuu wasikupotezee muda, watu wengine wanafikiria kwa kutumia masaburi.
 
Watanzania bana mbona wamasai, wakurya, wanatembea na mapanga sio issue.
 
Ile jezi je ataleta ukatoliki kwa njia ya mipira acha hizo fikiria ya maana nashangaa tena wanajifanya wasomi

Huna mantiki kwani jezi ni ishara ya ukristo toka lini? jezi hata nchi za kiislamu zinavaa lakini upanga ni ishara ya kiisalamu kuendeleza dini kwa lazima ndio maa nchi za kiislamu zina alama ya jambia au mwezi kama ishara ya din mfano Saudi Arabiai. kwenye jezi huna hoja
 
Kwa hili la zawadi sijaona ubaya wake

unatumia macho gani kutazama?

Macho yako ndiyo yanayokupa jawabu,kama unatumia macho ya kawaida ya kimwili huwezi kuona tatizo.lakini ukitumia spiritual eyes utaona tatizo.

Ni kweli sasa hapa jamvini watu makini wametoweka,Hili si swala dogo kama wengi tunavyohisi.mfalme wa Oman na JK wanajua nini maana yake,hakuna kitu kinachofanyika katika ulimwengu wa dunia hii kisicho beba maana kamili.

na katika nafasi kubwa kama za viongozi wa juu,not only that hata wewe unapoamua kutoa zawadi kwa mtu ama mgeni wako hutoi tu zawadi kama zawadi,unaitoa na maelezo kwanini umempa zawadi hiyo,na maelezo hayo yanakuwa na sababu katika physical rame and spiritual rame.

Hili ni somo refu sana.hope kwa ndondoo hiyo kidogo utaanza kurudi nyuma na kutafakari.
Note:kumbuka unapomnunulia mwanao zawadi,unamwambia nini?au mkeo unakuwa unawaza nini na makusudi yako,na kile kitakachozaliwa baada ya zawadi kupokelewa,nini maoni yako.
 
Watanzania bana mbona wamasai, wakurya, wanatembea na mapanga sio issue.

Yaliojaza moyo wako na avata yako i think they bring the same meaning.

maana siku zoto mtu hutoa na hufanya na hujidhihirisha kwa maneno yake mwenyewe.
 
Sio wanajifanya wasomi ni wasomi kweli,unataka kuwalinganisha na nani?Mtu aliyesoma ni mstaarabu,asiyesoma hata siku moja ustaarabu kwake ni mwiko

The sword is the tool that was used to spread Islam (violence, hatred, blood, and persecution along with it) . Islam in Arabic means submission; submission to the sword under the fear of being killed.
Ex-Muslim

Read more: What does the sword on the Saudi Arabia flag mean
 
Wewe kweli kilaza....kama unatafsiri mambo kwa staili hii sipati picha nchi yetu raia wanauelewa mdogo kiasi gani...!!! Kwa kweli naumia...


Habari wakuu!
Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.
But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"
Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

My outlook!
Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.
 
Zingekuwa enzi za Mzee wa Kiraracha angeisha mtia ndani na Jambia lake!!!!!
 
SICK... Wakati anapewa UPANGA na SULTAN Zanzibar halafu Tanganyika - POLISI walikatwa katwa na UPANGA au MAPANGA... HII INAMAANISHA kapewa SILAHA ya kukatana MAPANGA???


wewe huko uliko unakunywa bia umepoa kabisa ,
likilipuka sisi ndio tunachomwa na kukatwa hayo mapanga unayoyashabikia
 
Pengine Oman na nchi nyingine za kiarabu upanga ni alama yao ya heshima, kama ilivyo kwa baadhi ya wakuu (machifu) makabila hapa Afrika. Mkuki, ngao na kigoda ni alama zao. Leo hii kiongozi mkubwa wa kitaifa au kimataifa kama atazuru baadhi ya makabila yetu na kuonyeshwa ana thaminiwa sana basi atapewa alama hizi.
Mambo mengine madogo madogo yanabidi yapuuzwe. Kadri jamii inavyopenda kulishabikia sana suala fulani (kwa mfano la udini) japo ni dogo sana, ndivyo moto wa suala hilo unavyozidi kusambaa, na pengine kuleta madhara.
 
Habari wakuu!

Baada ya JK kwenda kwenye ziara nchini Oman, alitunukiwa zawadi ya upanga wa kivita kama ishara ya kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizi Mbili ktk maswala ya uchumi.

But in real sense zawadi hiyo haina maana halisi juu ya kile kilichosemwa kwamba ni ishara ya kujenga uhusiano, Pia imezidi kuacha maswali mengi kwa majority of christians kwamba huenda ni maandalizi ya the so called "kuendeleza dini kwa ncha ya upanga"

Nasema haya kwa sababu leo hii nimepita katika makanisa zaidi ya 5 na hii ndo imekuwa habari ya mjini na watu wakihamasishwa kufanya maombi juu ya hili swala.

My outlook!
Nahitaji kwa anayejua juu ya ukweli halisi juu ya zawadi ya upanga so as to make it clear.

Alipewa panga(jambia) baada ya kueleza jinsi makanisa yanavyochomwa na kubomolewa. Ile tuzo kwa kazi nzuri. Toka yuko madarakani makanisa 57 yameteketezwa na waislam. Baraza la Maaskofu wa Pentekoste (PPT) wameiandikia barua serikali kupitia ofisi zote, ikulu, ofisi ya makamu wa rais, waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani, igp,wakilalamika juu ya vitendo vya waislam na jinsi mungu wao anavyohujumu makanisa na imani nyingine, ofisi hizo zote hakuna waliowahi kujibu hizo barua.

Hivyo, JK hana budi kupewa tuzo ya jambia na kuelezwa kwamba "Long live Uamsho,long live JK movement".
 
Back
Top Bottom