Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,683
- 149,887
Kama mnakumbuka vizuri, huyu RC mwenye utata mwingi kupitia TBC aliwahi kutangaza zawadi ya gari kwa mwenyekiti wa mtaa ambae mtaa wake ungeongoza kwa usafi.
Nakumbuka picha ya gari husika iliyoonyeshwa pamoja na thamani ya ghari hiyo(sikumbuki thamani wala aina ya gari).
Mbali na zawadi ya gari pia kulikuwa na zawadi zingine kwa washindi wengine na zawadi hizi nakumbuka zilitangazwa live katika kikao chake na wenyeviti wake wa mitaa.
Zoezi hili sijui liliishia wapi ila nachojiuliza mpaka leo hii ni nani walikuwa wanagharamia mradi ule?Kwakweli mpaka leo hii sielewi na sasa utata ndio umezidi kabisa baada ya haya mambo kuibuka wakati huu.
Mwenye kujua anisaidie.