Zawadi sh 400,000= atakayeipata S6 iliyoibwa

Risk vs Return

Senior Member
Apr 23, 2012
106
71
Tunatoa zawadi jumla ya sh 400,000= kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana simu iliyoibiwa aina ya samsung galaxy s6 yenye IMEI #357943062598941 Iliibiwa /kupotea mjini mwanza

kwa taarifa yeyote tafadhali PM au toa taarifa polisi BR# MW/RB/733/2016

Pia Tunaomba msaada wa namna yeyote ili kufanikisha kuipa TCRA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom