Zawadi nono kwa atakaye mkamata raisi wa kongo joseph kabila.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi nono kwa atakaye mkamata raisi wa kongo joseph kabila..........

Discussion in 'International Forum' started by only83, Dec 20, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  ....Kwa kile kinachoweza tafsiriwa kama ni vituko vya mgombea uraisi Mzee Tishekedi aliyebwagwa na Joseph Kabila,ametoa kali ya mwaka kwa kusema kwanza atajiapisha mwishoni mwa wiki kama raisi halali wa Congo na ametoa zawadi nono kwa yeyote atakayesaidia kumuweka chini ya ulinzi raisi wa sasa ndugu Joseph kabila...

  My take:
  Watanzania tuchangamkie dili hili la kumuweka Joseph Kabila chini ya ulinzi tukavune zawadi ya mzee Tishekedi.......

  Source:TBC1 NEWS
   
 2. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Yani huyu jamaa kama ni kweli nasubiri Mengi!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  civil war inanukia pale
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  miafrika ndivyo tulivyo..by NN
   
 5. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Amefanya vizuri! Wezi wa kura wa kiafrika wanahitaji vichwa ngumu kama Tshisekedi
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Kama kukiwa na civil war basi hata Kikwete atakuwa na damu za wacongo, yeye akiwa ni mmoja wa Majambazi waliomsaidia Jambazi wenzao kuiba Kura kwenye uchaguzi wa Congo kwa kuwatuma Wachakachuaji wa Kitanzania waliochakachua Kura za Watanzania 2010. Viongozi wa Afrika hawakubali kushindwa kazi kung'ang'ania Madaraka hata kama wameshindwa kuongoza nchi kama Huyu fisadi wetu Kikwete ameshindwa kabisa kuongoza Tanzania. Time will tell
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,094
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Alikua ana mcharura Mobutu yani ukisoma historia yake utacheka..mara awe waziri mkuu ndani ya siku 7 mara wiki 3 yani haogopi mtu..nampeendaa xana
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,169
  Likes Received: 1,823
  Trophy Points: 280
  US walipeleka "washauri" wa CIA kule Uganda kumsaka Konyi, lakini pia walisema "washauri" hao watafanya kazi Congo vile vile.
  Connect the dots.

  The White House says the first troops arrived in Uganda on Wednesday. Ultimately, they will also deploy in South Sudan, the Central African Republic and Congo.


  Read more: http://www.foxnews.com/politics/2011/10/14/obama-sends-us-troops-to-central-africa-to-aid-campaign-against-rebel-group/#ixzz1h6IfQuKF
   
 9. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda tuwaite NATO kwanza wachakaze Congo yote, kwa sharti la kuwaruhusu kuchukua Almasi then wale seal team 6 walomuua Osama waje wamalizie kazi.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  una ushahidi,au unaropoka tu kwa vile umesikia watu wanaongea?
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Safi sana ngoja niende kunduchi mtongani naweza nikamkuta kwao pale
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,169
  Likes Received: 1,823
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,028
  Trophy Points: 280
  ICCJ Inahamia CONGO.DUH!!
   
Loading...