Zawadi nono itatolewa: Nitajieni kifungu cha Katiba alichotumia Jecha kufuta uchaguzi wa Zanzibar

Naomba mwenye kujua kifungu cha katiba/sheria kinachompa mwenyekiti wa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi wa Zanzibar akitaje na akiweke hapa hadharani.

Zawadi nono ya airtime/bundle itatolewa.

CUF kujitoa na kuwa nje ya ulingo wa siasa for 5yrs ni political disaster....maamuzi magumu yenye impact kubwa....ndio weshapotea
 
Alitumia MAMLAKA YAKE KAMA MWENYEKITI.
Unatakiwa ujiulize pia ENDAPO UCHAGUZI UTAKUWA NI DHAHIRI SHAHIRI KUWA HAUKUWA SAWA, nini KIFANYIKE??
Hapa cha kulaumu ni katiba ya Zenji haiko sawa, inatakiwa irekebishwe kuwa endapo itathibitika kwa ushahidi pasipo shaka kuwa kuna figisu figisu basi kuwe na mamlaka kwa mtu au kundi la watu kuufuta.
Na ndicho kilichotokea Zenji, uchaguzi ulitambulika na aliyepewa dhamana ya kuusimamia kuwa haukuwa sawa.
Piga kampeni ya kurekebisha au kubadili katiba, sio unauliza maswali ya mwaka jana.
 
CUF kujitoa na kuwa nje ya ulingo wa siasa for 5yrs ni political disaster....maamuzi magumu yenye impact kubwa....ndio weshapotea

Bora upotee kulikokushirik vitu haramu mana kuna kufa leo unaweza kujifanya mjanja hapa duniani wakat huvuk miaka mia lakin ukiingia udongoni kwenye nyumba ya milele ndo utajua kama sifa za kidunia zinafaida mana unafurahisha nafsi yako, marafik zako na jamaa zako siku mtoa haki ukikutana nae sijui itakuwaje....
 
At least wamesimamia mawazo yao. At least wameamua kuukosa ubunge (posho) ila sauti zao zimesikika.

Amani yetu actually si amani bali ni woga na ulafi

Siasa ni zaidi ya hilo..na kujitoa bunge la muungano ni kujitakia njaa tu..unless wawe na sponsors wa uhakika
 
Alitumia MAMLAKA YAKE KAMA MWENYEKITI.
Unatakiwa ujiulize pia ENDAPO UCHAGUZI UTAKUWA NI DHAHIRI SHAHIRI KUWA HAUKUWA SAWA, nini KIFANYIKE??
Hapa cha kulaumu ni katiba ya Zenji haiko sawa, inatakiwa irelebishwe kuwa endapo itathibitika kwa ushahidi pasipo shaka kuwa kuna figisu figisu basi kuwe na mamlaka kwa mtu au kundi la watu kuufuta.
Na ndicho kilichotokea Zenji, uchaguzi ulitbulika na aliyepewa dhamana ya kuusimamia kuwa haukuwa sawa.
Piga kampeni ya kurekebisha au kubadili katiba, sio unauliA maswali ya mwaka jana.
Weke kifungu hapa kama kinavyosomeka na si kuleta porojo tu kama unatongoza mwanamke!
 
Naomba mwenye kujua kifungu cha katiba/sheria kinachompa mwenyekiti wa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi wa Zanzibar akitaje na akiweke hapa hadharani.

Zawadi nono ya airtime/bundle itatolewa.
mkuu, kumbuka Africa sio Japan wala America. Na wewe tuoneshe kifungu cha katiba kinachokataza uchaguzi kufutwa??? Kisha ntakupa zawadi.
 
mkuu, kumbuka Africa sio Japan wala America. Na wewe tuoneshe kifungu cha katiba kinachokataza uchaguzi kufutwa??? Kisha ntakupa zawadi.
Ingekuwa ni mtihani na mimi ndio mwalimu wako,ningekupa zero na kama ni kozi, ningehakikisha una-carry hiyo kozi.
 
Back
Top Bottom