Zawadi kama hizi muhimu kufungua kwenye harusi kuondoa aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi kama hizi muhimu kufungua kwenye harusi kuondoa aibu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 11, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mi yalinikuta nilikutana na box la oven linalofwata nkafungua naona vipande vya nazi,vimabanana kila kona ya box so vyema mkafungua msikubali kubeba mabox kama haya kwenda nayo nyumban utabeba khanga mbichi zilizosokotwa...dunia imebadilika..sisemi hilo box jamani hiyo ni sample tu ya zawadi za kuhakiikiwa kabla ya kwenda nayo kwako
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Vingine nashindwa kuandika lakini pamoja na hayo yote na mshukuru mungu kwa kuipigania ndoa yangu nilijuwa watu wameanza kuichakachua...ukipata zawadi wewe unaetrajia kufungandoa karibuni usifungue mpaka muziombee yaani unaweza ona vioja lakini act zinafwata baadae kwenye ndoa yako kama mlipendana unashangaa huna hamu nae tena just singleday......mungu akuepushie haya in jesus name
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mi on myform six graduu nlifungiwa box kuuuubwa kufungua ndani kuna pakti 1 ya biskuti na magazeti kama kilo kumi
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  wewe ni hayo yaliokutokea na watu wako hao, yaani muda wa kufungua zawadi hadharani unapatikana wapi?..Pdidy bwana khaa.
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kaka kama hujali, una muda gani kwenye ndoa?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  sijali kaka nina miaka kadhaa
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Nyamayao upo...ndio maana sikuhizi wameanzisha unaacha zawadi mlangoni pale mlangoni kuna watu wanakuwa na viwembe na mikasi we unaweza hisi manesi kazi yao ni hiyo ukiondoka wanafungua pembeni wakikuta vimechakachuliwa wanaweza kukuuliza ama wakakustahi ukashangaa kamera ya harusi iko kwako muda wote kumbe baadae bwana na bi harusi wanaambiwa kinachoendelea wanatafuta mchawi...wale wanaolazimisha mizgo nje sio wajinga mpwa wana akili..m nilijibebea si unajua yale zawadi za mashangazi wajomba ,wafanyakazi we unacheka tu kumbe mamba wapo humo ndani...kwa sytle hyo uwezi kufngua lakini ukiona wanaacha zawadi nje na wewe umeleta misukule yako kwenye box ndugu usiitoe aibu wanaifungua 3min kabla ujapata kiti cha kukaa na wanajua ni wewe umeleta zile chupi mbichi..mie nilikutana na khanga zimetumika mbichiiii na ubichi wake...lakini mungu ni mwema wa yote ukimtanguliza
   
 9. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mmh.
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,816
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  mkuu p,didy leo umeongea kaka,mi tulishinda na mke wangu tunafungua mabox matupu,na zawadi zilizovunjika na zingine hazifanyi kazi siku nzima.aibu niliyopata siku hiyo,najuta kuwa na ndugu waswazi.:hand:
   
 11. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa zangu waliandika kwenye kadi hawahitaji zawadi kwenye harusi yao. Walisemwa sana kuwa wanadharau, ila walijua ambacho kingetokea maana mpaka wanaoana, sarakasi walizoziona wanazijua wenyewe
   
 12. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siku nimelamba ka-BSc kangu pale mlimani ndugu zangu walijipinda wakanifanyia graduu. Watu kibao majirani nk wakajimwaga na mizawadi. Kesho yake nilipozifungua, nyingine kweli nilikuta zawadi nzuri tu, saa za ukutani, vitabu, mashati mapya nk. Lakini kuna nyingine hakyanani utadhani wametumwa na dr manyaunyau! Yuko aliyenifungashia shati chafu nadhani alikuwa amelivaa wakati analima au anachimba shimo! Nyingine nilikuta vipande vya sabuni za kuogea zilizotumika vimefungwa kwenye magazeti makuukuu! Box lingine lililokuwa kubwa tena limenakshiwa, nilikuta vipande vya magodoro kama vile wanavyojaza kwenye mto wa kulalia, na kandambili chafu zilizotumika hadi kutoboka sehemu ya kisigino. Uswazi kuna mambo jamani asikwambie mtu!
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahahaha vichekesho
   
 14. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  mtu B u made my day nimecheka mpaka machozi huko unakoishi hama mara moja watakuchakachua roho hao raia
   
 15. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kweli mambo ya zawadi za harusi kuna vituko vingi!kuna harusi moja hiyo bwana harusi na mkewe wakati wanafunguan zawadi kwenye boksi lililofungwa vizuri tu walikuta kuna kondom zilizotumika!walitamani kulia, lakini walikuja baadae kutambua kuwa ni visa vya baadhi ya marafiki wa kike wa zamani wa bwana harusi!
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Miaka 11 iliyopita siku ya harusi yangu watu kama hawa walitoa box kubwa yenye TV nilipokwenda kuifungua nikakuta pakti ya Omo
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mtu B, Umeniacha hoi nilikuwa na hasira leo tangu asubuhi nikaingia hapa nimecheka mpaka basi you made my day.
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kuweka mambo hadharani ndio maana majuzi nilikuwa lugalo kwenye harusi kabla ya kuingia kuna watu wanaomba nje ufungue zawadi yako unaiacha pale..kulinda heshima yao na maharusi wakiogopa wanawezasakiziwa wameziachakachua zawadi kumbe walioleta hakika nilicheka maana nilikuwa na kitabu kizuri cha wanandoa nikawambia hii kitu muifanye harusi zote kimoyomoyo nakumbuka yalionikuta loh ndoa..
   
 19. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Du hii kiboko..........Mkuu unaishi na watu wa aina gani??
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  we acha tu kazi ya uswazi kuletewa glasi kibao ambazo hazina sura!!!! mwengine akafungia registry ya baby shower yake wacha watu wamseme...ati how cna u dictate what u want as gifts...yaani safari ndefu! mie niliwaambia anayetaka kuleta zawadi alete bahasha ya hard cash...sitaki vikombe na glasi!!
   
Loading...