Zawadi gani nitaje?

Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana.

Una ukaribu gani nae maana zawadi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani?
 
Taja kitu chochote ambacho una uhakika ni cha bei ya kawaida lakini kinaweza kubaki kama kumbukumbu. Kisiwe kitu cha kula lakini . Wenzetu wanathamini vitu vya kawaida tofauti na haya makupe ya kwetu yanayokula mpaka nauli.

Niamini mimi, usipokuwa mwenye tamaa utashangaa atakavyokuja navyo. Lakini zawadi yako itakonga moyo wake ukibahatika kutaja kitu anachokipenda pia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom