Zawadi gani naezampatia mchumba kwenye birthday yake?

inategemea na hobby au mtizamo wake.
Wengine wanapenda keki, maua, kadi n.k.

Wengine, viatu, na pamba.

Wengine, ada ya mtoto, kodi ya nyumba, sevisi ya gari, dinner n.k

wengine, nyama kilo 3, au jogoo, mafuta ya kupikia, mkaa, mchele, mafuta ya taa, viberiti, maharage n.k

Mambo ya zawadi nayo yameanza kuwa pasua kichwa. Niliwahiona mdada kajifungua ofisi ikamnunulia maua, nikatafakari nikasema ingekuwa mie wangerudi nayo hayo maua.
Bora hata walete nyama ntakunywa hata supu lol

teh teh teh!kongosho we noma
 
Mpe ufunguo wa gari au nyumba, mpe zawadi ya kumpeleka ukweni akafanyie hyo shughuli huko.
 
Ivi haya maisha yalivyo magumu,nyie mnapata wap surplus ya hadi kununuliana zawadi hovyo?
Mwenzangu siunampatia kitu chochote tuu kinachoendana uwezo wako japo ata IPhone inatosha...iliakupende zaidi mwezi kabla ya birthday yako ebu jifunze kutoa basiiiii.....
 
mnunulie cheni yenye kidani(sina uhakika kama kinaitwa hivi) shingoni chenye jina lako na lake au kipicha chako na chako kama hivi Tiffany-14k-Gold-Heart-Locket-Chain-Pendant.jpg
hako kajilove kanaweza weka foto yako na yake
 
inategemea na hobby au mtizamo wake.
Wengine wanapenda keki, maua, kadi n.k.

Wengine, viatu, na pamba.

Wengine, ada ya mtoto, kodi ya nyumba, sevisi ya gari, dinner n.k

wengine, nyama kilo 3, au jogoo, mafuta ya kupikia, mkaa, mchele, mafuta ya taa, viberiti, maharage n.k

Mambo ya zawadi nayo yameanza kuwa pasua kichwa. Niliwahiona mdada kajifungua ofisi ikamnunulia maua, nikatafakari nikasema ingekuwa mie wangerudi nayo hayo maua.
Bora hata walete nyama ntakunywa hata supu lol

Kongosho du wewe ni noma sana, asante kwa ufafanuzi. Mi kwa kuongezea kama kila kitu ashampatia na anona kila kitu keshafanya waende kutembelea vituo vya watoto yatima ambao wale nao na kufurahi nao
 
Wewe ndio unamjua mpe kile anachopenda..., au surprise him na mpe kile anachokiitaji...

Anyway its a Gift (Its the thought that counts)
 
Zawadi inayofaa kumpa mpenzi wako katika siku zote za uhai wako ni zawadi yoyote utakayomchagulia kutoka moyoni mwako ambayo utaipenda kwa moyo wako wote haijalishi ni zawadi ya namna gani as long as inatoka moyoni. Hiyo ndiyo zawadi inayofaa kumpa mpenzi wako.

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Mpe gari
Hali zenu wana MMU, vp maandalizi ya pasaka? Naomba mnisaidie ni zawadi gani inafaa kumpa mchumba katika kuadhimisha birthday yake? make nshampa zawadi nyingi tu km. boxer, saa, nguo, viatu hadi nimekosa aina nyingine ya zawadi ya kumpatia!
 
Back
Top Bottom