Zawadi gani inamfaa huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi gani inamfaa huyu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Oct 27, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani wana JF naomba mnisaidie kwenye hili, kuna mchumba wangu jana kanipigia simu na kunifahamisha matokeo yake ya kidato cha 6 kuwa amepata I point 9. sasa nilimwambia akipata hiyo nitampa zawadi, je ni zawadi gani inamfaa my wife to be

  ahsanteni sana kwa mawazo yenu
   
 2. M

  Msindima JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Gudboy,nimekumbuka kitu sio wewe ambae ulikuja kuomba ushauri kuwa kuna demu yuko chuo unamtumia voucher,unamwonyesha kujali lakini yeye wala na ukatwambia pia na wewe uko chuo? Au nachamganya habari? Naomba unieleweshe please.Maana tena leo naona umetujia kivingine kuwa wife to be amefaulu mtihani wa form six.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye yule uliyetuambia yuko chuo na anakubomu sana vocha lakini hakupigii wala kukutumia msg? Usiniambe alikuwa ana resit form six! Alikuwa chuo gani ambacho kilimpokea kabla hajamaliza form six? Mpe hongera, nakushauri mpe zawadi ya voucher.
   
 4. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ni kweli kabisa ni mimi haya ninayosema ni kweli, huyu wa sec ninaye siku nyingi na anaheshima sana, haombi ombi pesa, ndio maana nikasema ni my wife to be, yuel mwingine mwizi tu, mapenzi gani ya pesa. halafu kama unakumbuka kulikua na mada hapa ya kupima kati ya wapenzi ulio nao yupo anafaa, so huyu wa cha 6 mwana anafaa sana, tena w/end hii alikuja kwangu kunipikia, namsubiri chuo aje tule maisha
   
 5. M

  Msindima JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Chriss kumbe tuna kumbukumbu nzuri,nilifikiri kuwa nimekosea kwamba si huyu alietwambia kuwa ana demu yuko chuo,nimeshangaa leo kutujia tena na kutwambia pia wife to be amefaulu mtihani wa kidato cha sita,nimemwomba atueleweshe yupi ni yupi.
   
 6. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  huyu ni mwingine mkuu, yule siku hizi hata simpigii basi ananisumbua kwa kujidai anajua kucare, eti kila mara ananitafuta, na hapo alipo tumbo joto, matokeo yakitoka akishikwa 2 tu amekula mweleka, maana anadaiwa 2 tena semester iliyopita, hivyo anapumulia mpira ICU
   
 7. M

  Msindima JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kaaaazi kweli kweli
   
 8. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  nimefafanua mkuu hapo hebu cheki, mpo sahihi wote jamani
   
 9. B

  Bata Senior Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama kamaliza form six it means she should have got her exams result in april 2009.sasa haya matokeo ya mwezi wa kumi na moja kasoro siku nne yananichanganya.
  huwezi kungojea chuo coz kama amemaliza six lazima atakuwa univeristy/clege alredy.

  ACHA KUCHANGANYA HABARI.
   
 10. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  vp inalipa mkuu, je zawadi gani inamfaa shem wako kaka
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Heri yetu sisi ambao tuko wawazi. C unajua njia ya mwongo ni fupi. Afadhali yako wee uko muwazi kuwa mlala pembeni yako mtarajiwa bado mko kwenye process. Huyu mmoja yuko Secondary, mwingine chuo, kesho atatuambia mwingine amegradradyueti std VIIB. Hahaha!
   
 12. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  wewe ndio huelewi, uliza pole pole sio unadandia treni kwa mbele. Kwa faida yako ni mtihani wa MOCK
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Embu wataalamu fanyeni COPY AND PASTE ya ile thread yake ya kwanza aonekane ni MKWARE sana huyu dogo...
  Watu wanakumbuka bana...Usituchanganyie habari hapa wewe!
   
 14. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  sio ukware,yule nimempotezea mkuu.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Kwa niaba ya binamu yangu Msindima, nakupa masaa sita umtake radhi yeye na sisi mabinamu zake. Binamu yangu Msindima ni beautiful black African Woman. Huruhusiwi kumuita kaka! Please!
   
 16. M

  Msindima JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bata, nami nilikua nashangaa matokeo hayo ni ya form six iliyomaliza lini? nilitaka nimwulize lakini nakushukuru kwa kuuliza hilo,nimekugongea thanks kule.
   
 17. B

  Bata Senior Member

  #17
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  MBONA SIONI NENO MOCK HAPA????????????????

  Tumsaidiaje mtu huyu?

  nijuavyo mimi matokeo ya mock si kipimo cha kumpima mtu kuwa ataenda chuo?

  si ni yale matokeo watu wanasahihisha hovyo hovyo au nimekosea?


  kma kapata 1.9 mock mtihani wa mwisho ni three.

  mfano mimi nilipataga 1 ya tatu mock ila nikaangukia pua wa kumaliza kwa 1 .5 sasa unatueleza nini wewe?
   
 18. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  he/she, jina la.............
   
 19. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  wewe ni kilaza ndio maana ukaanguka, lakini wenzio huwa tunamaintain au kupata za juu zaidi. sasa kama ulibweteka ulitegemea itakuja hiyo hiyo au muujiza
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ucbadili muelekeo wa thread...
   
Loading...