Zawadi anastahili Kaseja tyuu?

Mimi nimefika mbali mno kwa ile 10...
....kwa kiasi kile angeweza kuwakatia watoto masikini 200 kadi za matibabu,bima ya afya-NHIF
Juma k juma 1.5 iliosha sana kwa juhudi alioonyesha.
 
Wewe umewapa wachezaji gani zawadi mbali ya kaseja ?
au zawadi yako ni kujaribu kutafuta mapungufu ya zawadi aliyoitoa Makonda ?
Zawadi ikitumika vibaya inaweza kukupa matokeo hasi mbele ya safari.

It should be "All or None" timu yetu bado changa Sana, wachezaji wanacheza Kwa kujitolea Tu hakuna hela. Kama kuna mwenye chochote basi kiratibiwe na kuwekwa kwenye mfuko mmoja ili kiwafikie wote. Hii inaweza kusababisha beki asijitume kulilinda goli lake kwa moyo wake wote
 
Unaonaje wewe ukianza kuonyesha mfano kwa kuwapa wote zawadi
 
Hahaha, hiyo mbona kawaida, toa account watu wawachangie wachezaji wao. Mbona ziko timu zinashiriki mashindano makubwana Sana Kwa njia ya kuchangishana na kuwapongeza wachezaji wao wote japo kidogokidogo? Fikiria Una watoto 3 nyumbani wameenda wote kuchunga ng'ombe mchana kutwa juani, wanaporudi nyumbani ghafla baba anampa mtoto mmoja togwa na kumpongeza Kwa kazi nzuri na kuwaacha wengine.
 
Nenda pale Uhuru. Ukakutane na uongozi wa TFF. Wao watakuelekeza namna ya kukabidhi zawadi zako.
 
Wote wanastahili...! Ila aliyejitolea kwa Kaseja yawezekana ndo uwezo wake. Sasa sisi tumpongeze kwa moyo wa kutoa halafu kuhamasisha wengine wajitoe...badala kusubiri tufungwe tuanze tulaumu

Kessy aliokoa magoli 2 ya wazi

Tungefungwa penati zisingekuwepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom