Zari tupa kule Wema ni mtamu jamani

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
593166100f8cf231363bc435b3fd5d61.jpg
 
Utamu, uzuri na mvuto wa mwanamke ni mtazamo tofauti kwa kila mwanaume.

Ukipendacho wewe kwa mwanamke nitofauti na akimpendacho mwanaume mwengine

Uzuri wa mwanamke ni complexity na no uniqueness kila mlume na mtazamo wake
 
Post za namna hii huwa tunazitegemea kupostiwa usiku. Sasa wewe mchana wote huu unawaza utamu hiv huna majukumu?
 
Ukitaka kujua Zari nimtamu ,,, awe kavaa kimini ,,alafu umtizame kwanyuma ,,maeneo ya gotin kwanyuma ..


Kama umekamilika lzma utikise kichwa !!.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom