Zari kusimamia shule na vyuo vyote vya Ivan vilivyopo South Africa

Katika watu wanaofurahia kimoyomoyo na hii mambo basi ni Dayamondi Platinamu, mosi Baba wa watoto kafa hivyo hakuna mtu wa kuja kupasha kiporo maana kuna msemo usio rasmi kua oa singo mama ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto amekufa, hilo kwake limefanikiwa.

Bahati yake ya pili ni kua baba wa watoto kafa alafu kaacha mpunga wa maana na yeye ndie atakua na nguvu ya kuumanaage, bahati iliyoje.

Nyota ya Dayamondi Platinamu sio ya kawaida.
Hivi mnamuona zari ni akina mama zena eee wa magomeni, ambao huendeshwa tu
huyo diamond wont have any say in the properties
Zari ana kila kitu cha kuepuka kudhalilishwa na kurubuniwa
 
Celebrities wengi huwa hawadumu angalia nigeria kina 2 baba, angelina jolie na brady.

Chibu dangote lazima aji assess ila mwisho wa siku itakula kwake. Sana sana 15 yrs wakijitahidi.

Ndoa halafu mna pesa ni ngumu sana. After watching videos za kwao na zari na huyo marehemu ivan . Naona kama hili jina Bossylady ni metaphor tuu.
 
Back
Top Bottom