Zari kusimamia shule na vyuo vyote vya Ivan vilivyopo South Africa

Baada ya maziko siku ya Jumanne nchini UGANDA ya aliyekuwa mume wa Zari.
Mwanamama huyu ataanza kazi rasmi ya kusimamia na kuendeleleza vyuo na shule zilizoachwa na Ivan.

Kaka wa Ivan na aliekuwa mtu wa karibu yake Pinto amesema hayo.Pinto amesema tatizo la moyo ni ugonjwa uliopo kwenye familia yao na kitendo cha Zari kuwa na watoto 3 wa Ivan tayari amequalify kuwa msimamizi wa mali hizo kwa ajili ya future ya watoto ikizingatiwa wazazi wote wawili wa IVAN walishafariki.

Pinto amekanusha habari zinazombaa kwamba wana ndugu wanagombania mali huku akisema pesa kwenye familia yao sio tatizo ni kitu kipo kwenye blood.

Zari To Manage Ivan Ssemwanga’s Schools In S.A

A few hours after Zari managed to secure her deceased ex hubby ’ s will, sources revealed that the Ugandan socialite will take over managerial duties for all schools Ivan had established in South Africa. This exclusive information was released by one of Ivan ’ s close family members only identified as Sir Pinto.

Ivan left behind Brooklyn College that has over 7 campuses spread allover South Africa. After revealing that both of Ivan ’ s parents died in his infant stages, Pinto also added that high blood pressure is very common in their family and Ivan’ s life is not the first to be taken among them . Pinto also disagrees with people who have been claiming that his family is fighting for the deceased property as he trashed the claims by saying their family has enough money.

His reply follows claims that have been making rounds on various news platforms that Zari, family members and other close friends were fighting for the deceased’ s property . Being the mother of Ivan ’ s three young sons , Zari qualifies more than any other person to protect the kids property from greedy people likely to take advantage of the business man ’ s death .

It should be noted that Zari also worked hard with Ivan to establish most of these businesses before she dumped him for a younger Tanzanian musician commonly known as Diamond Platinumz .

Source: composbeeug, poyesa.com
sasa ndio ndio huyu mwanamama atakaletaa kale kabwana kake kamwanamuziki kachawi kale pengine kamechangia hii mambo ili kajitawale
 
Mihemko bwana bila diamond wengi wetu tusingemjua zari
Zari hongera Mungu akusimamie watoto watatu ni wengi sana ngozi nyeusi bwana eti wa wa wekee mali wakikua wawape thubutuu
 
Katika watu wanaofurahia kimoyomoyo na hii mambo basi ni Dayamondi Platinamu, mosi Baba wa watoto kafa hivyo hakuna mtu wa kuja kupasha kiporo maana kuna msemo usio rasmi kua oa singo mama ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto amekufa, hilo kwake limefanikiwa.

Bahati yake ya pili ni kua baba wa watoto kafa alafu kaacha mpunga wa maana na yeye ndie atakua na nguvu ya kuumanaage, bahati iliyoje.

Nyota ya Dayamondi Platinamu sio ya kawaida.
Naona wapumbavu wakishangilia mauti.
 
Screenshot_2017-05-25-18-06-09.png
kabla ya hapo alikuwa C.E.O kwa hiyo Cheo kitapanda mpaka Mkurungenzi au Mwenyekiti.

Kweli usibishane na Mwanamke Pedeshee atamuonga Noah
 
Kitendo cha zari kuolewa tena ni laana hizo mali zote zitamfata mwenye nazo ndani ya miaka miwili.

Pumzika kwa anani ivan
 
Baada ya maziko siku ya Jumanne nchini UGANDA ya aliyekuwa mume wa Zari.
Mwanamama huyu ataanza kazi rasmi ya kusimamia na kuendeleleza vyuo na shule zilizoachwa na Ivan.

Kaka wa Ivan na aliekuwa mtu wa karibu yake Pinto amesema hayo.Pinto amesema tatizo la moyo ni ugonjwa uliopo kwenye familia yao na kitendo cha Zari kuwa na watoto 3 wa Ivan tayari amequalify kuwa msimamizi wa mali hizo kwa ajili ya future ya watoto ikizingatiwa wazazi wote wawili wa IVAN walishafariki.

Pinto amekanusha habari zinazombaa kwamba wana ndugu wanagombania mali huku akisema pesa kwenye familia yao sio tatizo ni kitu kipo kwenye blood.

Zari To Manage Ivan Ssemwanga’s Schools In S.A

A few hours after Zari managed to secure her deceased ex hubby ’ s will, sources revealed that the Ugandan socialite will take over managerial duties for all schools Ivan had established in South Africa. This exclusive information was released by one of Ivan ’ s close family members only identified as Sir Pinto.

Ivan left behind Brooklyn College that has over 7 campuses spread allover South Africa. After revealing that both of Ivan ’ s parents died in his infant stages, Pinto also added that high blood pressure is very common in their family and Ivan’ s life is not the first to be taken among them . Pinto also disagrees with people who have been claiming that his family is fighting for the deceased property as he trashed the claims by saying their family has enough money.

His reply follows claims that have been making rounds on various news platforms that Zari, family members and other close friends were fighting for the deceased’ s property . Being the mother of Ivan ’ s three young sons , Zari qualifies more than any other person to protect the kids property from greedy people likely to take advantage of the business man ’ s death .

It should be noted that Zari also worked hard with Ivan to establish most of these businesses before she dumped him for a younger Tanzanian musician commonly known as Diamond Platinumz .

Source: composbeeug, poyesa.com

Na wewe utasimamia nini? Umbea hapa JF?
 
Back
Top Bottom