Tetesi: Zari anasa mimba nyingine, Diamond amshawishi aichomoe

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
zari.jpg

Mama la mama, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amedaiwa kunasa ujauzito wa mpenzi wake, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,.

Taarifa hizo za ndani ya familia zimevuja ikiwa ni takriban miezi nane tangu mrembo huyo kumzalia Diamond mtoto wao wa kwanza Tiffah.

Taarifa kutoka WCB zinadai kuwa habari za ujauzito huo zimekuwa zikizunguka ndani ya WBC na baadhi ya watu wa karibu tu, lakini hali imeshindwa kujificha baada ya ujauzito huo kuanza kukua.

“Naomba nikudokeze juu ya Zari kuwa mjamzito tena, habari hii ni ya uhakika na kila mtu WCB anajua, Zari amenyaka mimba na cha ajabu amekataa katakata kuichomoa kama Diamond alivyokuwa akimshawishi".

“Huwezi kuamini ugomvi wote ambao umekuwa ukidaiwa kuendelea kati ya Diamond na Zari umesababishwa na ujauzito huo ambapo Diamond amekuwa akitumia nguvu nyingi kumuomba Zari achomoe mimba hiyo lakini hakuna hata siku moja ambayo ameonesha dalili za kumuelewa.

Mnyetishaji huyo kutoka WBC amedai kuwa, kinachomsikitisha Diamond ni kwamba, mimba hiyo inazidi kukua jambo ambalo anaona si sahihi kwa sasa kwani ana mtoto (Tiffah) ambaye bado hajatimiza hata mwaka mmoja.

“Jamaa anaona soo, anaona kama jamii haitamuelewa hivi, jitihada zake za kumshawishi zinagonga ukuta na mbaya zaidi mimba kwa sasa ina kitu kama miezi minne,” .

Mnyetishaji huyo amezidi kutiririka kuwa, safari ambazo Diamond alikuwa akizifanya mara kwa mara kwenda Afrika Kusini (Sauz), nyingi zilikuwa ni za kutatua mgogoro huo ambao umeikumba familia ya WCB, kiasi kwamba hadi wazazi wote wameshirikishwa lakini mwisho wa siku hakuna muafaka.

“Si unakumbuka kuna kipindi Diamond alikuwa anakwenda Sauz mara kwa mara, ishu hiyo ndiyo ilikuwa inampeleka lakini hazikuzaa matunda, mamaa kagoma,” .

Habari zinazidi kusema kuwa, familia yake imemshangaa Diamond kwa nini hakuwa makini wakati alijua kabisa Tiffah bado angali mdogo.

“Wamemshangaa sana kwa kushindwa kuwa makini wakati kwa sasa kuna mbinu nyingi sana za kuepuka ujauzito, sasa matokeo yake amesababisha hadi kuwe na mvutano unaokosa muafaka,”.

Mmoja wa ndugu wa Diamond ambaye alikiri kuwa Zari ni mjamzito lakini akaombwa asitajwe jina maana suala hilo limegubikwa na usiri mzito.

“Ndiyo hivyo kama ulivyosikia. Zari hataki kutoa, nahisi kwa sababu ya kuwakomesha zile timu pinzani lakini anashindwa kujua upande wa pili familia inashindwa kukubaliana naye maana ni jambo la aibu kupata mimba kabla mtoto wa awali hajafikisha hata mwaka,” alisema ndugu huyo.

Diamond alipotafutwa ili azungumzie suala hili alibaki njia panda ambapo hakutaka kukataa wala hakutaka kukubali licha ya kukiri kuzisikia habari hizo.

“Dah! Habari hizi sijui muda mwingine huwa mnazinyaka vipi, sijui hapa niseme nini zaidi ila unachotakiwa kufahamu mimi bado nahitaji kupata watoto zaidi ya mmoja na ifahamike kuwa ninapenda watoto sana, maana uwezo wa kuwahudumia ninao hata hivyo kushika mimba kwa Zari ni mapema sana,” alisema Diamond.

Mama mzazi wa msanii huyo, Sanura alitafutwa ili kusikia maoni yake, lakini badala yake, aliishia kucheka na kumuomba mwandishi wa habari hizi kuachana na mambo hayo.

Source: Mnyetishaji ndani ya WBC.
 
Kama alikuwa hataki toto nankwambia aende chini?????
 
Kick za kibongo hizi sijui zitaisha lini isipo kuwa updated kwa media unapotea hahahha

So wengi deal imekuwa mahusiano na mibibi

Hivi hakuna vitu vingne vya kufanya ili ujulikane?

Kama music wako mzuri huwezi kutoka mpaka ujizalilishe na mibibi ?

Huwezi fanya shughuli za kijamii ukajulikana au ndo uwezo wa kufikiri Mdogo kwa wasani wetu ?

Ni kaupumbavuuu fulani kwa sani wa Bongo
 
Hesabu kweli mama mkwe.
Kama alizaa mtoto miezi nane ilopita na sasa kaikwaa mimba sasa kuzaa si baada ya miezi tisa uyo wa kwanza atakuwa na miezi 17 yaani mwaka na miezi mitano almost nusu.
Kamua Diamond ingawa watoto wakipishana miaka miwili ndo shega
 
Back
Top Bottom