Zari Amvaa Mange Kimambi..

Tulikuwa tukinangwa Sana wadada wa kitz ...kisa zari ..(tulionekana sio wife material)
Leo na yeye amekuwa mswahili hatari mitusi Kama yote...
Ndio watu mjue binadamu yoyote yule akiwa na uhakika na maisha yake anakuwa mstaarabu ila Mambo yakigeuka anaweza kufanya Mambo ya hovyo....
Hata yule mke wa A.Y. anaonekana mpole bonge la mwanamke ni kwa sababu mumewe ametulia ila akianza michepuko na Mambo ya hovyo hovyo atacharuka Kama asha ngedere!
 
Ila Leo tukinao kajua kunikomeshea mtu , kumbe bidada nae yuko vzur kwenye kuchamba, halafu Ana matusi hatari , nimeshangaa Bi kigagula alivyojibu kwa upole vile utadhan Sio yeye, Ila nimegundua mange hajui kuongea vizur physically unlike akiwa anatype, yani ukitaka kichambo cha mange vizur , ngoja akutaipie, atakuchamba mpaka mshipa ya ubongo ikusimame, Ila Leo dada wa taifa kaniangusha, sio wa kuzidiwa kuchambwa na zari .

Ila zari kiboko , eti kamuuliza swali moja tu , ye K yake imemsaidia nini ? . Naona Bi dada anajibaraguza tu Hana cha kuongea, Leo mama kenzo kapatikana, halafu ukiangalia tu ile video ya mange utaona deep down she envy Zari's opulent living , na anamuogopa sana zari sema tu ndo vile atafanyaje kuondoa maumivu.

Ila mange unafeli wapi dada yetu jaman , unajua tunakutegemea kutupeperushia bendera yetu huko US? , yani na elimu yote hyo uliyokua nayo , na ujanja na shape nzuri , maana sio siri mange unalipa, you have that English figure of which most Rich white men craving for , and frankly speaking , mange you very smart kichwani , una upeo wa akili mkubwa sana, Sasa sijui kwa nini instead of making yourself , unaanza ku attack successful woman ambaye literally kakuzidi kila kitu , dada mange ukubali tu zari is your idol , role model , a person you are looking up to , im very very very very sure you badly want that extravagant lifestyle ya zari , you wish you had a man to buy you a house in a wealthiest estate kama ya zari sema tu ndo vile , sijui una gundu au laana .

Dada mange kwa u smart ulionao, elimu yako nzuri , I'm sure ata ungekua na gang ya Ma prostitute expensive uko US ambao uwaibia wazungu pesa na kuwa drug or black mail them , Sasa dada yetu jaman unakosea wapi ? , maana sijui kazi Tena kuajriwa Ndo basi, and you are almost 40 , with three kids , huna lolote mjini zaidi ya followers mil 3 Instagram , sijui hata kwa nini Uwa unamsema wema sepetu hana akili wakati nadhan akili zenu tu wote sawa
Waraka wote huu una like 2 tu??? Kuna tatizo mahali
 
Mnaomuamini mange mmepotea kabisa, yule ni social distractor, gvt puppet, serikali ingekuwa inamtaka mange leo hii angekuwa ana bow down to her knees kuomba msaada, ila mambo yake na ndugu zake yanaenda poaaa kabisa
 
Unfortunately , Diamond is out of my league , I only do the most elite and powerful people , I don't do stupid , ignorant , uneducated and mentally retarded imbeciles , I'm sexually attracted to someone's intelligence of which diamond lack , I'm dating prominent people in the government , not magufuli government , yani mpaka apo Ndo ujue I don't get dicked with a empty minded people , diamond type yake ni kina hamisa na Kim nana, zari alikujia tu nyumba yake , mission accomplished 🤣🤣
Shogaaa...Naona leo ung'eng'e kama wooote..Umenipa shida ya kutafuta kamusi ujue..Hahahaaaa..
 
Back
Top Bottom