Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

The
Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.

Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali.

View attachment 1430809

Sent using Jamii Forums mobile app
The guy is earing the whole world at the price of losing his own soul.
 
Amue hajakatazwa,kama aliweza kuwapeleka watoto kanisani na kuwa badilisha uraia,nisingeshangaa akiwabadilisha dini.

Yeye kama amefanya maamuzi haya manake hamwitaji mme wake sababu kulea ni kushirikishana kila hatua.
Unachoshindwa kuelewa malezi sio ya Zari ni ya watoto. Bonding inayotakiwa hapo ni ya diamond na watoto wake.
Kuwa nao karibu , kuwasikiliza , kucheza nao kujua watoto wake wanapenda Nini wakiwa wanaumwa wanakuwaje hivo vitu havina mbadala. Tatizo unadhani malezi ni pesa peke yake. Mtoto hajui thamani ya pesa anachohitaji ni "Bonding" na baba ana feel uwepo wa baba.
Nyie ndo wale mnadhani ukituma hela Mpesa au tigo pesa ndo umelea watoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu baadae wanasingizia mama kapandikiza maneno uchukiwe. Kumbe watoto walikua hawakuoni

Wajibu wake endapo akishirishwa kwenye maamuzi ya watoto.

Sasa unajua malezi ni bond ya baba na mama mbona kwenye mamuzi mengi,aihusishi hiyo bond manake bond ni umoja ambao ndani yake unapata ushirikiano.

Mwanaume hata kama hana hela anahitaji kushirikishwa kwenye maamuzi yoyote yale either yawe makubwa au madogo na ndio maana ya bond,ukifanya maamuzi peke yako hapo ushavunja bond.
Bado hujajua maana ya "Bonding"
Nimekwambia bonding inayotakiwa kwenye malezi nia ya mtoto na baba hata kama baba na mama hawaelewani.
Chriss Bown na baby mama wake wanapelekana mahakama kila mara lakini ukaribu na mwanae Royalty ni zaidi ya bonding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujajua maana ya "Bonding"
Nimekwambia bonding inayotakiwa kwenye malezi nia ya mtoto na baba hata kama baba na mama hawaelewani.
Chriss Bown na baby mama wake wanapelekana mahakama kila mara lakini ukaribu na mwanae Royalty ni zaidi ya bonding

Sent using Jamii Forums mobile app
Criss brown kishamalizana na mke wake mwanzoni kabisa baada ya kutaka kumpiga hela na Criss brown kesi alishinda na Criss brown hakukataa kulea,bali alikataa kutoa hela ambayo mwanamke aliyokuwa akiitaka.

Ila mke wa Cris Brown hajambadilisha uraia wala iman,kesi mbili tofauti.

Alafu Royalty analelewa na bibi yake,mama mzazi wa Criss Brown.

Bond ni umoja ambao ndani yake kuna kushirikishana,unasema baba awe na bond na watoto lkn maamuzi anafanya mama sasa hapo kuna bond.
 
Halafu baadae wanasingizia mama kapandikiza maneno uchukiwe. Kumbe watoto walikua hawakuoni
Kabisa wengi huwa wanadhani wamama wanapandikiza maneno kwa watoto kumbe wao wenyewe ni tatizo wakituma hela basi wanajua wamemaliza matokeo yake kutokuwa hakuna connection kati ya baba na mtoto
Mtoto anakuona stranger tu hakuna feeling wala passion.
Mfano diamond mwenyewe pamoja na kumsamehe baba yake bado hakuna connection kati Yao ndo maana anakuwa mzito hata kuwa nae karibu ile feeling huyo ni baba hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Criss brown kishamalizana na mke wake mwanzoni kabisa baada ya kutaka kumpiga hela na Criss brown kesi alishinda na Criss brown hakukataa kulea,bali alikataa kutoa hela ambayo mwanamke aliyokuwa akiitaka.

Ila mke wa Cris Brown hajambadilisha uraia wala iman,kesi mbili tofauti.

Alafu Royalty analelewa na bibi yake,mama mzazi wa Criss Brown.

Bond ni umoja ambao ndani yake kuna kushirikishana,unasema baba awe na bond na watoto lkn maamuzi anafanya mama sasa hapo kuna bond.
Mifano iko mingi Wizkid , Davido wote mama watoto zao wanazinguana nao lakini ukaribu na watoto wao uko pale pale
Juzi kati Davido aliamua kuvunja ratiba zake ampeleke mwenyewe mwanae shule akamuendesha mwenyewe hivi ndo vitu watoto wanapenda na kuitaji hapo hata mama aseme vipi mtoto hawez mchukia baba maana anauona upendo na kujaliwa moja kwa moja

Kwani baby mama wa Wizkid au Davido kishawahi kufanya aliyoyafanya Zari,kama kuwabadilisha uraia na kuwapeleka katika nyumba za iman ambazo tofauti na baba zao,manake hapa tunazungumzia kesi mbili tofauti.

Ukiona hivyo basi jua hawajawavunjia heshima wanaume wao,wanawashirikisha ktk kila hatua,haijalishi wana ugomvi au hawana na kila mtu ameamua kukaa katika nafasi yake ya asili mwanaume kabaki kuwa BABA na mwanamke kabaki kuwa MAMA.
 
Heshima yako mwanaume
Hoja dhaifu sana kama Diamond angeamua kuwa karibu na watoto angekuwa nao karibu bila kujalisha Zari anataka hau ataki
Sheria zipo zinamlinda Diamond kama baba ndo naama nasema aliamua tu kuwa mbali na watoto wake
Unazungumzia hoja ya dini na uraia ?yaani wewe na akili yako timamu unashindwa kuona damu yako kisa watoto wameenda kanisani ? Seriously?
Kuna watu wamezaa na watoto wa kichaga ukoo mzima hawamtaki hata kumuona lakini anapambana analea mtoto wake .
Unahalalisha vitu na hoja dhaifu sana
Diamond akiamua kuwa karibu na watoto wake hakuna kiumbe kinaweza kumzuia awe Zari na ukoo wake wote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mifano iko mingi Wizkid , Davido wote mama watoto zao wanazinguana nao lakini ukaribu na watoto wao uko pale pale
Juzi kati Davido aliamua kuvunja ratiba zake ampeleke mwenyewe mwanae shule akamuendesha mwenyewe hivi ndo vitu watoto wanapenda na kuitaji hapo hata mama aseme vipi mtoto hawez mchukia baba maana anauona upendo na kujaliwa moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzinguana wana zinguana (mkatukanana,mkapigana,mkanuniana sawa) lakini si mpaka kufikia hatua ya kubadilisha uraia wa mtoto wa kupelekana kwenye nyumba za ibada ambazo tofauti na baba yao.

Ukishafanya hivyo manake baba yao humtaki sababu umewabadilisha asili na imani tofauti na baba yao.

Mwengine anaweza akafikiria labda mtoto ni amebambikiwa kwa maana imani yake na uraia ni tofauti na wa kwake labda kuna baba mwengine anaye mjua mama yao,ambaye uraia wake na dini yake vinafanana na hao watoto na akamwambia "kamtafute baba yao".

Baba yao Mtanzania dini Muislam sasa kwa nini umpeleke kanisani?

Baby mama wa Davido na Wizkid washafanya hivyo?
 
Alafu kulea sio msaada kusema mwanamke asipofanya ninavyotaka naacha ule ni wajibu wake haijalishi wana maelewano gani yupo mama watoto wake.
Kumbuka malezi sio ya mama ni ya watoto bonding ni ya baba na watoto.
Hakuna Excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
braza unajaza maji kwenye tenga,utakesha hapo.hawa jamaa ni viazi si kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari sio mjinga wewe BUMUNDA ,Boss wenu DOMO hatoi pesa ya matumizi kisa eti zari ana fedha,mwambie Boss wenu kabla ya kulipia watu kodi awalipie watoto wake bima ya afya!! Hata kama zari ni tajiri watoto wanalelewa na baba na mama asimwachie majukumu yote zari.
Sawa bumunda lilooza, mm ntafikisha kwa boss wangu lkn na ww fikisha kwa boss wako wa kike kuwa mwanume haletewi jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kwako unaweza ukaona hamna sababu ya msingi,ila yule demu ana kiburi za fedha,kwake anaona fedha ndio kila kitu.

Hivi wewe kweli kama mwanaume,unaweza ukakubali ,ukakubali mtoto wako abadilishwe uraia? Yote tisa kumi unawapeleka Kanisani,manake swala kama la imani swala jingine kabisa,kama Mondi angekuwa mtu wa swala tano hii kesi kubwa,sometimes inaweza hata ukasababisha kupotea kwa uhai wa mtu.

Siku zote mwanaume anahitaji kusikilizwa na kuheshimiwa ila kama mwanamke akikuzidi kipato ni ngumu sana kukusikiliza,wachache sana ambao wana hofu ya Mungu wanaweza wakamsikiliza mwanaume ambaye amemzidi kipato.

Zari na Mondi wanaonyeshana,Zari tokea mwanzo anamwonyesha Mondi sio kitu anaweza somesha na kuwapatia mahitaji yote muhimu bila Mondi ndio maana kaamua,kumbadilisha uraia na kuwapeleka kanisani.

Mondi nae kaona kazarauliwa ,watoto baki ukitaka huduma yangu basi lazima wafuate vile nitakavyo mimi.

Na ndio maana mahusiano kama haya mnapoteza mda mwingi kwenye mashindano,baada ya kulea watoto.Hapo kila mtu inabidi asimame kwenye nafasi ya asili.
Haya sasa kawaruka nyie wapambe
Screenshot_20200427-143705.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom