Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Utafanyaje kitu bila kumshirikisha mwenye mtoto?

Pili maswala ya imani ni very sensitive,utawapelekaje watoto kanisani wakati baba yao ni muislam.

Unataka huduma ya mwanaume,kila mmoja asimame ktk nafasi yake ya kiasilia na si kufanya maamuzi we mwenyewe bila kumshirikisha mwenzako kisa una hela kumzidi mwanaume.
Una hoja dhaifu sana mbona Leo Diamond kasema baada kuona ujumbe wa Zari Jana kaamua kumpigia simu na kuongea nae wameelewana kwaiyo kilichokuwa kinamfanya asihudummie watoto wake wala kuwa karibu sio hizo sababu zako ilikuwa ni ego na pride tu,
What if Zari asingetoa ujumbe Jana angeendelea kujikausha asilee watoto wake?
Kwa haraka haraka unaona tatizo kubwa lilikuwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umemsikiliza vizuri issue yake ipo kisheria amesema ana mwanasheria wake ndio anaongea na zari na Kama ujatoa huduma yeye anatakiwa aongee na mondi atoe taarifa lakini huyo zari kakimbilia public Kama Kiki si Nini?
 
Una hoja dhaifu sana mbona Leo Diamond kasema baada kuona ujumbe wa Zari Jana kaamua kumpigia simu na kuongea nae wameelewana kwaiyo kilichokuwa kinamfanya asihudummie watoto wake wala kuwa karibu sio hizo sababu zako ilikuwa ni ego na pride tu,
What if Zari asingetoa ujumbe Jana angeendelea kujikausha asilee watoto wake?
Kwa haraka haraka unaona tatizo kubwa lilikuwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ambaye ana mpeleka mtoto kanisani anajua fika baba yake muislam,anambadilisha uraia bila kumshirikisha mzazi mwenzake na nani ana ego na pride.

Manake kitendo cha kufanya maamuzi kama haya peke yako manake una declare una uwezo wa kulea watoto pekee yako bila msaada wa baba yake.

Sababu kulea ni kushirikishana ktk kila hatua na kila maamuzi madogo na makubwa.

Kwa Zari kutoa ujumbe jana ndio inaconclude Mondi kakosea au kuwahi kwenda kushtaki ina maana mshtaki ndiye kakosea?

Unajua kwenye simu wameongea nini?
 
Hoja dhaifu sana kama Diamond angeamua kuwa karibu na watoto angekuwa nao karibu bila kujalisha Zari anataka hau ataki
Sheria zipo zinamlinda Diamond kama baba ndo naama nasema aliamua tu kuwa mbali na watoto wake
Unazungumzia hoja ya dini na uraia ?yaani wewe na akili yako timamu unashindwa kuona damu yako kisa watoto wameenda kanisani ? Seriously?
Kuna watu wamezaa na watoto wa kichaga ukoo mzima hawamtaki hata kumuona lakini anapambana analea mtoto wake .
Unahalalisha vitu na hoja dhaifu sana
Diamond akiamua kuwa karibu na watoto wake hakuna kiumbe kinaweza kumzuia awe Zari na ukoo wake wote

Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.

Hivi unajua IMAN ni very sensitive na ni moja ya vitu vinavyoleta mtafaruku mpaka kufikia hatua ya kutoana uhai sijui kama unalijua hili.

Mimi navyojua mimi kulea ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi juu ya mtoto,ukienda against basi wewe ndio mwenye ego na pride.
 
Diamond na Baba yake ni wa aina ile ile tu sema katika version tofauti ambapo baba Diamond hakuwa na hela na Diamond ana hela. Ukiangalia kwa undani utagundua tatizo lipo kwa mama za watoto ambao mara nyingi uwa wanawa-feed watoto mabaya baada ya kuachana na wazazi wa watoto na mwisho kutelekezwa.

Kama mie ndio Diamond ningeenda kumbeba baba kwa kuwa sasa atakuwa ameelewa rangi ya wanawake (mama zetu)

Halafu Zari na mkwanja wote anaojivunia na u-bossy lady bado anahangaika vitu vidogo au ni wivu unamsumbua?
 
Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.

Hivi unajua IMAN ni very sensitive na ni moja ya vitu vinavyoleta mtafaruku mpaka kufikia hatua ya kutoana uhai sijui kama unalijua hili.

Mimi navyojua mimi kulea ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi juu ya mtoto,ukienda against basi wewe ndio mwenye ego na pride.
Nakwambiaje Zari hata angeamua wototo wasiwe na dini bado Diamond ndo baba tena ukizingatia hawajui chochote akiamua kuwa nao karibu angekuwa nao tu Sheria iko upande wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambiaje Zari hata angeamua wototo wasiwe na dini bado Diamond ndo baba tena ukizingatia hawajui chochote akiamua kuwa nao karibu angekuwa nao tu Sheria iko upande wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amue hajakatazwa,kama aliweza kuwapeleka watoto kanisani na kuwa badilisha uraia,nisingeshangaa akiwabadilisha dini.

Yeye kama amefanya maamuzi haya manake hamwitaji mme wake sababu kulea ni kushirikishana kila hatua.
 
Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.

Hivi unajua IMAN ni very sensitive na ni moja ya vitu vinavyoleta mtafaruku mpaka kufikia hatua ya kutoana uhai sijui kama unalijua hili.

Mimi navyojua mimi kulea ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi juu ya mtoto,ukienda against basi wewe ndio mwenye ego na pride.
Alafu kulea sio msaada kusema mwanamke asipofanya ninavyotaka naacha ule ni wajibu wake haijalishi wana maelewano gani yupo mama watoto wake.
Kumbuka malezi sio ya mama ni ya watoto bonding ni ya baba na watoto.
Hakuna Excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto waende kanisani, waende msikitini, wawe na uraia wa Afrika Kusini na mengineyo bado wana DNA ya diamond. Diamond ni baba yao mzazi kabisa. Mambo mengine ni unnecessary kujitetea tu lakini ukweli uko pale pale wale watoto ni damu yake he should man up and take care of them.
 
Alafu kulea sio msaada kusema mwanamke asipofanya ninavyotaka naacha ule ni wajibu wake haijalishi wana maelewano gani yupo mama watoto wake.
Kumbuka malezi sio ya mama ni ya watoto bonding ni ya baba na watoto.
Hakuna Excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajibu wake endapo akishirishwa kwenye maamuzi ya watoto.

Sasa unajua malezi ni bond ya baba na watoto,lkn mbona kwenye mamuuzi anayafanya mama sasa kuna bond hapo.

Mwanaume hata kama hana hela anahitaji kushirikishwa kwenye maamuzi yoyote yale either yawe makubwa au madogo na ndio maana ya bond,ukifanya maamuzi peke yako hapo ushavunja bond.

Nikurekebishe tu malezi ni taasisi inayotakiwa kusimamiwa na baba na mama,haijalishi mna matatizo au hamna,huku mkishirikishana kila hatua ya makuzi ya watoto,kila maamuzi yanayo wahusisha watoto,kinyume cha hapo HAMNA kitu kinachoitwa malezi wala bond.
 
Back
Top Bottom