Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 709
- 1,558
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa..
Nipo hapa Kampala katika pita pita yangu mtaan nakutana na mabango na vipeperushi vinavyosomeka kesho tarehe 21.. Kutakuwa na party ya kufa mtu ijulikanayo kama Zari all white Party..
Ila mabango hayaoneshi kama mtu mzima Diamond atakuwepo.. Mwenye taarifa za kuaminika kama mondi atatimba anipe data nichukuwe ticket mapema.. Maana kuna nyomi hatareeee