Zari All White Party 21 /12 /2017: Mbona kama Mzee mzima Diamond hatakuwepo?

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
708
1,556
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa..

Nipo hapa Kampala katika pita pita yangu mtaan nakutana na mabango na vipeperushi vinavyosomeka kesho tarehe 21.. Kutakuwa na party ya kufa mtu ijulikanayo kama Zari all white Party..

Ila mabango hayaoneshi kama mtu mzima Diamond atakuwepo.. Mwenye taarifa za kuaminika kama mondi atatimba anipe data nichukuwe ticket mapema.. Maana kuna nyomi hatareeee
 
Alikuwa Turkish airline na harmony labda ndo walikuwa njiani kurudi bongo.
 
Zari ni iron lady ukishindana nae utachanika msamba
Sio lazima mond awepo kwani zari all white party haijaanza leo, tangu yupo na ivandon
 
f4c5bc351b2498458af67ba598409b8f.jpg

Belaire Vs Ciroc
 
Back
Top Bottom