Zao la shairi ( bailey)

Zao tena au nafaka? Hahaaa unaenda kuoteshea Hydroponic baada ya kupata semina?

Shauri inalimwa sana mikoa ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Arusha na Manyara na pia Kanda za nyanda za juu kusini.

Hii huwa ni contract Farming hivyo inapelekwa yote kiwandani ba pia hailimwi kwa wingi, Viwanda vinafanya kuagiza nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom