Zao la pamba shinyanga lazikwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zao la pamba shinyanga lazikwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SpK, Feb 19, 2009.

 1. S

  SpK Member

  #1
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hatima ya zao la pamba kwa mkoa wa Shinyanga lipo mashakani baada ya kampuni kubwa na yenye nguvu - Cargill kusitisha kazi zake katika nchi ya Tanzania.
  Sababu za kampuni hiyo kusitisha kazi zake pata nakala ya barua iliyoambatanishwa hapa.
  Pia nimeambatanisha nakala inayoelezea historia ya kampuni hiyo kwa ufupi.
  Pia pata nakala ya viongozi wake ukizingatia ni family owned coy.

  1. Nini hatima ya zao la pamba mkoa wa Shinyanga?
  2. What are the other general impacts of this business closure apart from employees?
  3. What you think on leadership skills for black people? Je, black people tuna akili ndogo according to previous comments as well as Pr. Kalugendo alishawahi kuongelea sana juu ya uwezo wetu hata kwenye mambo yetu nyeti kwa maendeleo ya jamii nzima?

  Need your comments on this very shocking issue, pls contribute some ideas or something else!
   

  Attached Files:

 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani Tanzania sikuna kiwanda cha Mwatex na Urafiki hivi viwanda havikuweza kuwa mteja wa bidhaa za Cargrill? Ninavyofahamu soko la pamba kwa mahitaji ''demand' hakuna shida, kwa tatizo la bei nadhani ni kawaida katika kipindi kama hiki bei kushuka sana. Nadhani wanatakiwa kuwasiliana na serikari ili kuona kama wanaweza pewa ruzuku ili kuwanusuru katika kipindi hiki cha mpito. Hata hivyo tamko lao ni kali sana linantisha inaonyesha hawataki kuendelea na biashara Tanzania.
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  SHIRECU kwani haipo?
   
 4. S

  SpK Member

  #4
  Feb 20, 2009
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Fisrt Lady,

  pls be serious on this very shocking issue especially to those farmers who entirely depend on the product of cotton in shinyanga region. cargill was the only and best on setting good competitive cotton seed prices during the buying season.

  shirecu is no more like the former shirecu, shirecu ya leo siyo ya 1984! pamoja na kwamba kuna makampuni mengine mengi ya pamba like GAKI, FRESHO, JAMBO, AFRISIAN, etc lakini CARGILL ilikuwa ni mwokozi mkubwa hasa kwa Wilaya za Kishapu, Maswa, Bariadi, Meatu, Bukombe and nearby areas within Cargill ginneries.

  For instance Cargill was located in Lalago Village, Maswa District in Shinyanga Region. Katika kijiji hiki cha Lalago most of people sepends mainly on Cargill. Mama Ntilie earn thru this ginnery, shop owners are selling thru this company, casual wages are solving financial problems via Cargill.

  Then now the Coy has been winding off, what are the economic and financial impacts for the residents of nearby areas and cotton product in the nearby areas???

  After all, to the best of my knowledge this Coy is dying here in Tanzania because of just few people who I can put them in the category of FISADIZ. This is because the top management here in TZ were mainly upon individualism. This is sure the General Manager (Country Controller) wa kampuni hii hapa Tanzania hakuwa siriaz na perfomance ya kampuni.

  It should be noted that, Cargill Tanzania has been working under loss for more than 14 years! Hivi kweli hawa viongozi wanaridhika na hali hiyo? Si kupata low volume as they defended to their bosses who are far in UK and USA, siyo economic recession ambayo imesababisha kuanguka kwa kampuni hii hapa Tanzania bali ni sababu za uongozi usio stable na usiojari maisha ya watu na uhai wa kampuni.

  This is damn shit issue First Lady u have to note it.
   
Loading...