Zanzinet.net | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzinet.net

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kasopa, Nov 7, 2010.

 1. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Alichokifanya Maalim Seif Sharif siku ya J,tatu1/11/2010 ni nusu ya kupigania jihadi ya
  nchi yake.

  Papatu papatu zilizokuwa zikiendelea na maneno makali yakutupiana na kutishana ndani ya chamber Bwawani hatimae Dr Shein aliangukia uchindi wa kutangaziwa kuwa Rais wa watu wa Zanzibar kwa ushindi mdogo waliopishana na mpinzani wake Maalim Seif Sharif Hamad wa asilimia 1.

  Kilichojiri ndani ya ukumbi huo wa chamber baina ya Mh Maalim Seif na Mh Amani Abedi Karume na Dr Shein ni kusherewa kwa matangazo ya urais ya tarehe ya J,pili ya tarehe 31/10/2010 kusherewecha kutangaziwa.
  Bada ya mchujo mkali na usanii uliokuwa ukifanyika na wakuu wa wilaya kwa maelekezo ya usalama wa taifa duru ya mwanzo ilionyecha Maalim Seif anaongaza kwa asilimia 70 mchujo wa pili asilimia 62 watatu asilimia 52.

  Huku wakati ukipotea na tume kusubiri madokeo ya urais Mh Amani Abedi Karume alilazimika kuamrisha tume ilete matokeo haraka na aloshinda atangaziwe.

  Bada ya hali kuonekana imekuwa ngumu matokeo yaliopelekwa Bwawani bado Maalim Seif anaongoza kwa asilimia 52 ndipo ilipo lazimishwa tume ya uchaguzi Zec stopishe matangazo na watu kuweko Chamber.
  huku watu wa kiongezeka nje ya ukumbi wa Bwawani polisi walilazimika kuweka kizuwizi ili watu wasiweze kuzidi kuongezeka.

  Bada ya tarifa hio Mh Amani alitowa amri ya kuondoshewe vizuwizi vya watu kutoku kuruhusiwa kuingia Bwawani na kutowa onyo kali kwa maofisa asije akanyukuliwa mtu yoyote na Badae akaonekana Mh Amani akiwapungia mkono watu ili kutowa mkono wake wa baraka kwa wazanzibar walio kushanyika nje ya ukumbi wa Bwawani bila fujo huku hali ya usiri wa ndani ikiwachangaza waliokuweko nje na muda kupotea bila madangazo ya rais kutangaziwa.

  kilichojiri ndani ni maneno makali na viticho bana ya Mh Maalim Seif Sharif Hamad na Mzee Ruhsa Ali Hassan Mwinyi akiwa na ujumbe wake wa Mh Benjamen Mkapa na Mkuu wa majeshi ya Tanzania pamoja na maofisa wa usalama wa taifa.

  Maalim Seif alinukuliwa akisema ili kuepucha fujo na umwagikaji damu naiomba tume ya Zec initangaze kwa asilimia hizo hizo 52 kuwa rais wa watu wa Zanzibar na ridhaa ya wazanzibar waliopiga kura kunichaguwa kuwa rais wao na kuwaongoza.

  Kwa upande wa Mh Shein hilo halikuwa gumu kwake alikubali alikuwa tayari kutia sign ya kukubali kushindwa na lakini alizazimika mishwa kukataa na kumuahidi kuwa kwa hali yoyote ile watamtangazia kuwa rais wa Zanzibar kwa asilimia 50.1 na malimm asilimia 49.1 za matokeo waliokuwa nayo usalama wa taifa kukabidhiwa Tume itangaze.

  bada ya hapo ni pata shika nguo kuchanika ni maneno makali yalio zidi kuendelea bana ya Maalim na Mzee Ruhsa Maalim alisuputu kusema ikiwa watanganyika wamekupiga kibao basi wazanzibar watakupiga risasa, dipo alipo sema watangazie watu wako nje waondoke ili tutangaze mtu wetu na tutamtangaza kwa hali yoyote itakavyo kuwa.

  Ndio Maalim wakashauriana na wenzake walio kuwepo hapo na ili kuinusuru Serekali ya kitaifa na kuwanusuru wazanzibar waloko nje ndio akaonekana kushiwa na nguvu na kutoka na kuwambia watu warudi majumbani kwa kunusuru umwagaji damu na zamira mbaya ilio kusudiwa yakuvuruga amani na utulivu uliopo pamaja na mchakato mzima wa serekali ya kitaifa ambayo misingi yake bado ni imara.

  Lamwincho ni kumpigu Mh Amani na Tume yake alio iamini sana kuwa mwaka huu itafanya haki kwa mwenye pasentegi kupewa haki hio lakini mambo yalibadilika na wakuu wa tume kutumbukiziwa pesa thro
   
 2. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni uongo mtupu. Ni kweli kua maalm seif alishinda lkn si 70% ni wastan wa 49% na shein ni wastan wa 48%
   
 3. m

  matawi JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kasopa ni mbongo kweli mbona kiswahili yake lazima umlipe mtu akutafsirie. Ni habari lakini kuihakiki kwangu imekuwa ngumu
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  duh mi mwenyewe imenimix......kwenye sha anaweka cha....kiswahili gani cha ubabaishaji hiki....sisi si wafaransa bana
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo hata zenj wanamtambua maalim kama ndio rais wao sio
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mwaka huu watu wanatoa mpya. Kila mmoja anajichagulia rais wake, bila kujali kuna aloapishwa kukalia hiyo siti.
  Mweeeh!
   
 7. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Make love, not war....
  are u serious ? mmmh.........pm pls! :smile-big:
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wakwetu....hata sisi huku Yaeda tunamuapisha wakwetu j5
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  that avatar.....lol
   
 10. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maalim seif ni makamo wa kwanza wa rais akiwa unguja lkn akienda pemba anakua rais kamili kwa mujibu ya wapemba wenyewe wanavyosema.
   
Loading...