#COVID19 Zanzibar’s first Vice President Maalim Seif dies after testing positive for COVID-19

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,190
4,103
Zanzibar’s First Vice President Maalim Seif Sharif Hamad has died at the age of 77, less than a month after being hospitalized with COVID-19.

Zanzibar President Hussein Mwinyi made the announcement on Wednesday, further declaring seven days of national mourning.

Tanzania President John Pombe Magufuli has since sent his message of condolences to the people of Zanzibar following the passing on of the ACT Wazalendo Chairman.

“I have received with profound shock the news of the death of Hon. Maalim Seif Sharif Hamad, the First Vice President of Zanzibar. I send my condolences to the President of Zanzibar Hon. Dr. Mwinyi, Family, Zanzibaris, ACT-Wazalendo members and all Tanzanians. May his soul Rest in Peace,” Magufuli wrote on Twitter.

Maalim Seif was on January 31, 2021 hospitalized at the Mnazi Mmoja Hospital in Zanzibar after he reportedly contracted the coronavirus.

“It is true I am at Mnazi Mmoja Hospital where I am being treated of Covid-19 and my wife has been isolated at home,” he told local press then.

Source: Zanzibar's first Vice President Maalim Seif dies after testing positive for COVID-19 - Citizentv.co.ke
 
Bro Kenya ilikufanya nini 😄😂. Hapa habari tathmini nchi yako imepoteza naibu wa raisi alafu maoni yako iko kenya ?
This guy Geza is mentally sick 😂😂
Naona media zenyu zilivyokimbelembele kunyoosha vidole dhidi ya Tanzania wakati wakina nyachae wanazikwa kila siku!
 
Amiri Jeshi mkuu akiwa mfariji mkuu atahudhuria mazishi? Kama atahudhuria atavaa barakoa?
 
Naona media zenyu zilivyokimbelembele kunyoosha vidole dhidi ya Tanzania wakati wakina nyachae wanazikwa kila siku!
Kenya hatujakataa kwamba kuna corona. Kwa hivyo tumekiri wazi kwamba baadhi ya viongozi wetu wamekufa kwa corona. Nyinyi ndio mnadanganya watu kwamba hakuna corona Tanzania. Usilinganishe Kenya na utopolo wa Tanzania.
 
Amiri Jeshi mkuu akiwa mfariji mkuu atahudhuria mazishi? Kama atahudhuria atavaa barakoa?

Mtihani sana ila poleni na muache kuskliza matamko mzingatie tahadhari, la sivyo mtazikwa wengi sana, maana kwenu huko mumesubiri rais aseme kwanza kama ipo au haipo, ukizingatia amegoma kukiri paruwanja, mkulu anazungusha haeleweki kama anakubali ipo au inakuja, au itakuja, au ilishakuja, au ni ya kuja......hehehe check hapa

2676834_20210127_1326562.jpg
 
Magufuli thought that by declaring Tanzania covid-free, Tanzania would seize the opportunity to overtake other regional countries economically while those other countries were on lock down. That's a shallow mind if you ask me
 
Mtihani sana ila poleni na muache kuskliza matamko mzingatie tahadhari, la sivyo mtazikwa wengi sana, maana kwenu huko mumesubiri rais aseme kwanza kama ipo au haipo, ukizingatia amegoma kukiri paruwanja, mkulu anazungusha haeleweki kama anakubali ipo au inakuja, au itakuja, au ilishakuja, au ni ya kuja......hehehe check hapa

2676834_20210127_1326562.jpg
Fala ********
 
Back
Top Bottom