Zanziba hawana mitishamba?Huko Zanzibar hawaponi? Au maji ya kujifukizia hakuna?
Utakuwa unafundisha shule ya private wewe. Mahitaji yako ya mshahara yasituulie watoto wetu.Mimi nafikiri shule zifunguliwe. Bara maigizo sana. Wanamuiga m China au North Korea kuhusu data
Odhis *
Wako kwenye mfongo wa ramadhani, sidhani kama wanaweza kufuata ushuri wa KAFIR.Hivyi Zanzibar hawaponi?
Huyu jamaa kuripoti ni vifo au wanaoongezeka tu.
Tangu Corona iingie walikuwa na mfungo? Kwa hiyo kutotoa wanapoona ni ucha Mungu?wako kwenye mfongo wa ramadhani, sidhani kama wanaweza kufuata ushuri wa KAFIR.
na hatatangaza, labda atatangaza waliopona tu, ila vifo na maambukizi mapya tusahau!Kwetu hali naona iko shwari Waziri Ummy hajatangaza toka 22 April. Tuendelee kumuomba Mungu na kujifukiza kwa wingi. Bila kusahau hizo limao na tangawizi.
Aisee. Wanasema "information is power".". Watu tusije jisahau tukijua hakuna tena Corona.na hatatangaza, labda atatangaza waliopona tu, ila vifo na maambukizi mapya tusahau!
Yes. Ndiyo wanayotaja - majani ya pera, embe, parachichi, mchaichai, alovera(nimeona picha ya uganda), stafeli, na eucalyptus na rosemary. Mbili za mwisho kuzipata mjini kazi. But hata ukipata chache inatisha.majani ya mpera Je?