Zanzibar yangu umekosa nini kwa Mungu?

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,786
Nina machugu, masikitiko na u nyonge tunavyoadhibika kwenye nchi yetu Zanzibar. Hatujawahi kuwa huru hata siku moja kwa karne. Tokea kumalizika kwa utawala wa Malkia Mwana wa Mwana wa Tumbatu wazanzibari tulikuwa tnabadilisha Mbwana wa Kikoloni mmoja baada ya mwengine.Walianza watawala madhalimu wa Kireno, wakaja waarabu na sasa Mkoloni Tanganyika

Hatufurukuti, taabani na hatupumui. Wema wetu, upole na utamaduni wetu unaaangamizwa. Wasemaji wakuu wa mambo kuhusu Zanzibar ni watu nje ya visiwa hivi. Mwenye enzi mungu husikii kilio chetu basi hata sala zetu?.
Njia zote za kiungwana, kidomokrosia na kidiplomasia tumechukua, bila mafanikio

Tunakuomba mwenyenzi mungu uwatia hofu ya kimungu watawala wetu na uwaongozi kwenye njia ilionyooka


Wazanzibari tunahamu ya kuonja ladha ya kujitwala wenyewe!
 
Wazanzibar msipokinukisha mtaendelea kuwa koloni la tanganyika hadi kizazi cha 40.
 
Back
Top Bottom